Chakula kisafi kwenye sahani chafu lazima na chenyewe kitachafuka tu!JPM sijui alikuwa misleaded wapi akiwa mzoefu kwa miaka zaidi ya 30 kwenye high ranks
Kwamba hata wewe na mabandiko yako tusiwe tunakuamini?Acha hasira.
Trust noone
Kwamba hata wewe na mabandiko yako tusiwe tunakuamini?
Hajasema usiwamini Bali usiwamini 100%Kwamba hata wewe na mabandiko yako tusiwe tunakuamini?
Mimi naamini kwenye kinachoaminika hadi kiwe hakiaminiki. Hii ya Trust no one bila sababu kwangu haina nafasiHiyo ni formula Mzee. Hata Mzazi wako hutakiwi kumuamini
Hii IPU ndo betina alikuwa rais wake?Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Ujumbe wa IPU umefika gereza la Ukonga na kufanya Mazungumzo na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, anayeshikiliwa kwa Tuhuma za Uongo za Uhaini
Ujumbe huo umeongozwa na Katibu Mkuu wa Umoja huo wa Mabunge ya Kidunia, Bwana Martin Chungong.
Amesema Trust no oneHajasema usiwamini Bali usiwamini 100%
Muongo huyo, hapo anapolala na Mke wake usiku kucha fofofo😄😄Amesema Trust no one
Yeye sio kataa Ndoa?😀Muongo huyo, hapo anapolala na Mke wake usiku kucha fofofo😄😄
okTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba Ujumbe wa IPU umefika gereza la Ukonga na kufanya Mazungumzo na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, anayeshikiliwa kwa Tuhuma za Uongo za Uhaini
Ujumbe huo umeongozwa na Katibu Mkuu wa Umoja huo wa Mabunge ya Kidunia, Bwana Martin Chungong.

SwadaktaTupeleke watoto wetu wasome kwa Bidii.
Elimu ya Lissu na Hekima za Lissu ni za ajabu,
Unanikumbusha Hekima za Sulemani dunia nzima ilikuwa inaenda kumwangalia