Ukonga: Tundu Lissu akutana Katibu Mkuu wa IPU, Martin Chungong

Kwa sasa kila Mgeni wa Kimataifa ataogopwa😄😄
 
Kitu pekee nimejifunza na maisha Kila Siku yananikumbusha binadamu usimuamini kwa asilimia 100%
Lisu ameonyesha uwezo mkubwa kimsimamo.
Lakini pekeake hataweza
Hao Wazungu sio wakuwaamini kwa 100% kwani nao ni watu. Wanachoangalia ni maslahi yao.
Ukweli usemwe Lisu angeamua kuwa njee kwa kukubali vipande vya fedha yawezekana ata uhapisho wa SSH angekuwepo

Lkn kwa macho ya kiuchambuzi sasa hivi ccm wanahitaji msaada wa Lissu na Cdm kuliko Cdm na TAL wanavyouhitaji msaada wa Cdm
 
Kitu pekee nimejifunza na maisha Kila Siku yananikumbusha binadamu usimuamini kwa asilimia 100%
Lisu ameonyesha uwezo mkubwa kimsimamo.
Lakini pekeake hataweza
Hao Wazungu sio wakuwaamini kwa 100% kwani nao ni watu. Wanachoangalia ni maslahi yao.
Imani yako uwa ni kijinga

Kabla ya oktoba 29 ulikuja na andiko la kutokuamini na kusema una 100% maandamano hayotokuepo

Lissu Siyo Mbowe

Sisi tuna Imani na Lissu kwa 100%
 
Mungu ibariki CHADEMA
Mungu mbariki TAL
 
Kitu pekee nimejifunza na maisha Kila Siku yananikumbusha binadamu usimuamini kwa asilimia 100%
Lisu ameonyesha uwezo mkubwa kimsimamo.
Lakini pekeake hataweza
Hao Wazungu sio wakuwaamini kwa 100% kwani nao ni watu. Wanachoangalia ni maslahi yao.
Lakini kwa hapa alipofikia lolote atakaloamua hatuna haki ya kumlaumu!
Kapambana sana kwa uwezo wake padogo palipobakia kama tumeshindwa kupambana wenyewe tupumzike tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…