StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Yawezekana walidhani kumwacha huru huku nje ndio ingeharakisha zaidi anguko lao. Huu mkeka kwa vyovyote vile lazima uchanike!June 11, tunaenda wote kombe la dunia na LISSU pembenii
Mistake kubwa waliyofanya CCM ni kitendo cha kumweka TUNDU LISSU jela kwasababu kitendo hiki kimefanya dunia nzima iwe karibu na yeye
Uongo huo.....Hivi unajua USA akiamua Samia atoke ndani ya masaa 24 Hilo linatokea?
Ndoto za alinachaClear achievement ni musawada wa Marekani kuhusu uhusiano wake na Tanzania, vikwazo dhidi ya viongozi na watendaji serikalini.
Subiri mambo makubwa yanakuja. Usitukane mamba kabla hujavuka mto.
Walipofikia CCM MO29 afadhali kutawaliwa na wazungu hasa wamarekani kuliko kutawaliwa na wauwaji wa maelfu ya vijana wetu wadogo.Ndoto za alinacha
Nani hafahamu wazungu na kuwafanya Waafrika wajinga
Ndio makamu alitoka kabisa kuwa "Marekani waje wasimamie nchi kipindi cha mpito"
Kumbe amejivika ahadi hewa alizopewa, jinga kabisa
Kiongozi unakuwa na akili za kitumwa maisha yako yote? Hovyo kabisa
Uhai gani wako wameuchukua? Ungekuwa unaadika utumbo hapa na kisimu chako?Walipofikia CCM MO29 afadhali kutawaliwa na wazungu hasa wamarekani kuliko kutawaliwa na wauwaji wa maelfu ya vijana wetu wadogo.
Bora wazungu wachukue radilimali zetu watuachie uhai wetuCCM wanamchukia uhai wetu huku wakijisifu wamefanya kazi iliyotukuka.
Baada ya risasi 40, Lissu hana cha kupoteza.Kitu pekee nimejifunza na maisha Kila Siku yananikumbusha binadamu usimuamini kwa asilimia 100%
Lisu ameonyesha uwezo mkubwa kimsimamo.
Lakini pekeake hataweza
Hao Wazungu sio wakuwaamini kwa 100% kwani nao ni watu. Wanachoangalia ni maslahi yao.
Kwa hivyo unataka nisubiri zamu yangu kuuwawa ndipo nikemee nikiwa marehemu?Uhai gani wako wameuchukua? Ungekuwa unaadika utumbo hapa na kisimu chako?
Au wewe ndio wale wa twendeni kumbe unakata kona kujificha?