Ambilikisye anna
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 561
- 501
Mie nina shida na buku kumi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka ukafanye betting?Mie nina shida na buku kumi mkuu
Hapana mkuu nataka nikale na ubaya zaidi sijawahi kufanya hizo mnazoziita betting.....Unataka ukafanye betting?
Rafiki yangu mmoja nilimkopa Laki Sita May 2017. Alikuwa nje ya mji na mkewe akapata emergency, akihitaji hiyo pesa. Kwa kuthamini urafiki wetu, nilimtumia fasta, na elfu kumi juu ya ''kutolea''. Huyu hajalipa mpaka leo. Mwingine alikuwa staff member na akaomba nimkope Laki Nane kwa kuwa alikuwa na shida ya kutoa kagari kake kapya bandarini. Ilikuwa June mwaka jana. Hajalipa mpaka leo.
Jambo la ajabu sasa, naona kama urafiki wetu umetetereka pakubwa sana kwa wote wawili. Sio kwamba nawasumbua kwa kuwadai, la hasha. Naona mmoja yeye hata nikichat nae, ule ukaribu wetu wa zamani haupo tena. Sasa hivi simuoni kabisa WhatsApp na nimeambiwa kabadilisha namba. Huyu wa Laki nane zaidi ya mara mbili amepokea simu zangu na kusema ''nipo busy/meeting mkuu, ntakucheki baadae buddaaa...''. Hakunicheki mpaka kesho kutwa. Last time nilitaka kumpa mchongo wa kazi moja hivi lakini alivyoyeyusha, deal nimempa mwingine.
Anyway, kopa mtu fedha at your own risk. Kwa kuwa ninathamimi sana urafiki, mwaka huu sintomkopa fedha mtu au rafiki yangu yeyote. Kama ni fedha kidogo na nimesukumwa na shida ya mtu, nitatoa msaada bure na halitakuwa deni. As for the two gentlemen, nimeshawasamehe moyoni ila sitawaambia na itakaa iwatese tu.
Elfu kumi yote iyo unakula nini?Hapana mkuu nataka nikale na ubaya zaidi sijawahi kufanya hizo mnazoziita betting.....
Nanu2a mchele,unga,sukari,maharagwe na mafuta ya kupikia mwehhh!Elfu kumi yote iyo unakula nini?
Kadoee kwa jiraniNanu2a mchele,unga,sukari,maharagwe na mafuta ya kupikia mwehhh!
kwani kupakatwa ni bure? njoo nikupakateUsipende vya bure utapakatwa
Siku nyingine usimpatie Mkuu, kitakachotokea atapambana na hali yake!kuna mtu nilimpa laki 9 ya mkewe kujifungua kwa kisu... toka mwaka 2015.... mpaka leo hajapata tu...
Sawa ubarikiweeeKadoee kwa jirani
Ndio inavyoonekana. Somo zuri hili..Kamwe usiazime ama kukopa fedha kwa mtu ambaye huhitaji kukosana naye ama kupoteza urafiki na ukaribu...
Sawa. Njoo uchukueAisee nikopesheni million kumi Na tano Bila riba Wala rehani
The good thing is, hatokuja tena kuomba mkopo kutoka kwako, kama ana akili nzuri....sijamdai nimefanya kama nimtoa sadaka tu...
Kabisa kakaThe good thing is, hatokuja tena kuomba mkopo kutoka kwako, kama ana akili nzuri.
Umewahi kumkopesha shoga yako?Pole sana huwa wanasahau shida haiji mara moja