Ukosefu wa ajira Vijana wa kiume wamegeukia bodaboda vijana wa kike wamegeukia kujiuza

True
 
😀😀
 
Kujiuza ni tabia na Wala hakusababishwi na ugumu wa maisha.
Kila Malaya ana history yake.
 
Mama kwa mwezi anaingiza milion 3 yaani kila siku anacheza mchezo wa laki huyo ni tajiri Sasa anamzidi hata mtumishi wa Serikali mwenye masters.
 
Pesa haramu ni tamu na rahisi kuipata waambie pesa wapatazo wapi wanapeleka utakuta zinaishia kwenye starehe.
 
Ni ishu za kiroho zao.
Malaya ni mtu aliyeuza nafsi yake kwa shetani atumike Kama wakala wa kusambaza magonjwa ya kiroho na kimwili.
Thus nafsi zao zikikomboka mtu anaacha na kuuchukia kabisa ushoga, umalaya,wizi,uuaji nk na kujitia kabisa maisha hayo.
Kujutia au kuhisi hatia ni hali ya nafsi kurudi.
 
Malaya, kibaka,teja hata umpe milion 100 kesho ataendelea kuuza.
Ni sawa na mzoea rushwa ofisin hawezi acha hata umpe mshahara milion 10,elf tano aachi.
 
Usisahau kubeti.

Khalifa wa The Chanzo alikuwa anaongelea hili janga na Jenerali Ulimwengu.

Bora ubeti kuliko kufikiri kuwa Mungu hayupo.

Karibu Kanisani Jumamosi
 
Mama kwa mwezi anaingiza milion 3 yaani kila siku anacheza mchezo wa laki huyo ni tajiri Sasa anamzidi hata mtumishi wa Serikali mwenye masters.
Usiamini sana hizo habari kuwa wakati wanakatisha wiki hawajaguswa na ndo maana wanaenda sana kwa waganga
 

Ukaomba kimoja baada ye maelezo. Ila natumaini ulitumia kinga?
 
Bora ubeti kuliko kufikiri kuwa Mungu hayupo.

Karibu Kanisani Jumamosi
Hivi nisipokuja kanisani na nisipokubali uwepo wa Mungu wewe inakuuma sana eeh?

Naona unaichomekea hiyo logical non sequitur kama guluguja anayebiringita kwa reflex action bila kuwa na ubongo wala uti wa mgongo.
 
Kujiuza ni zao la factor nyingi ingekuwa ni ishu ya uchumi Ulaya wasingejiuza kule uhakika wa ajira kwa mzawa ni mkubwa awe amesoma au la hata uarabuni penye uchumi mzuri ujio wa mitandao umesaidia kujiuza kuwa rahisi.
Nje ya hapo kichwa chako ni mali ya serikali.
Uzinzi ni kosa la kukatwa kichwa uarabuni thus rate ya HIV na magonjwa ya STD ni chache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…