Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
- Thread starter
- #41
TrueAlafu tunaishia kutukanwa wanaume wa sikuhizi hatuna pesa. Hebu fikiria wanawake wote wanaouza baa Tanzania hii ni wangapi jumlisha na hao malaya wanaojiuza wazi na kwenye mitandao, njoo kwenye hizi saluni za kiume vinyozi wawili lakini mabinti wa kukusafisha wajepinga watano. Hao woote wanalishwa na wanaume. Mishahara ya mabaa medi haifiki laki lkn angalia wanavyomiliki, hizo ni pesa za wanaume zinawatunza. Tunataka haki sawa,,, sawa ya nyoko.