Ukosefu wa hedhi tangu kipindi cha balehe

MR KUO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
2,678
Reaction score
3,818
Basi ndugu zangu nisiwachoshe na tusichoshane.iko hivi baada ya kataa ndoa kijipatia point tatu kwangu maana sijui nielezeje ila ndoa yangu ishajifia, nikafanya harakati za kutafuta mahusiano mapya yatakayokuwa rasim huko siku za mbele ila bila ndoa.

Nikamtokea binti fulani baada ya mazungumzo ya hapa na pale nikaweka malengo mezani akakubali ila akaamua kuniambia wazi yeye ana tatizo la uzazi kwamba hakuwahi kupata hedhi tangu anavunja ungo, nikashtuka huenda huyu hata shimo hana ila akanihakikishia yuko flesh na mzigo nikapewa nikapiga vema[emoji2960] (sorry),nikaona nimdadisi tatizo nini na lilianzaje akaniambia hakuwahi kupata hedhi tangu avunje ungo na kwenye ukuaji wake hata matiti kuna kipindi yanakua halafu yanarudi kuwa madogo na mambo mengine mara kuumwa n.k.

Sasa wataalamu huyu atakuwa na shida gani, tiba zake zikoje na mimi ndugu yenu moyo umesita kumwacha maana itakuwa ni sawa na uuaji, nataka nimsaidie japo kwa kiasi changu ikishindikana pia ni sawa nambeba hivyo hivyo nitampa hawa madogo nilionao wawe wa kwake maana mama zao hata hawaeleweki nakaa nao mwenyewe.
 
Hospital walimwambiaje au hajawahi kuhangaika kutafuta ufumbuzi?
 
Ukiwa sawa mshukuru mola asee
Dah mchukue tu akulelee watoto

pia muende huko kwa wataalamu wa afya mcheki pia kama ana kizazi na maswala mengine yahusuyo uzazi, kakuweka wazi mshukuru Mungu

Wala usimuachee ,naonaga huruma etiiii
 
Una utu sana. Hongera. Hili jambo ni la kumuona daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake. Kuna tatizo ambalo linahitaji diagnosis ya dakta.
 
Kama yeye anabalehe basi wewe unaingia piriod
 
Nina rafiki yangu alikuwa na tatizo km Hilo japo yeye aliona hedhi mara moja akiwa na miaka 20 haikumtokea tena. hakuwahi kuwa na mtoto aliolewa mpk akaachika kisa hazai na Sasa ni marehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…