MR KUO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 2,678
- 3,818
Basi ndugu zangu nisiwachoshe na tusichoshane.iko hivi baada ya kataa ndoa kijipatia point tatu kwangu maana sijui nielezeje ila ndoa yangu ishajifia, nikafanya harakati za kutafuta mahusiano mapya yatakayokuwa rasim huko siku za mbele ila bila ndoa.
Nikamtokea binti fulani baada ya mazungumzo ya hapa na pale nikaweka malengo mezani akakubali ila akaamua kuniambia wazi yeye ana tatizo la uzazi kwamba hakuwahi kupata hedhi tangu anavunja ungo, nikashtuka huenda huyu hata shimo hana ila akanihakikishia yuko flesh na mzigo nikapewa nikapiga vema[emoji2960] (sorry),nikaona nimdadisi tatizo nini na lilianzaje akaniambia hakuwahi kupata hedhi tangu avunje ungo na kwenye ukuaji wake hata matiti kuna kipindi yanakua halafu yanarudi kuwa madogo na mambo mengine mara kuumwa n.k.
Sasa wataalamu huyu atakuwa na shida gani, tiba zake zikoje na mimi ndugu yenu moyo umesita kumwacha maana itakuwa ni sawa na uuaji, nataka nimsaidie japo kwa kiasi changu ikishindikana pia ni sawa nambeba hivyo hivyo nitampa hawa madogo nilionao wawe wa kwake maana mama zao hata hawaeleweki nakaa nao mwenyewe.