KERO Ukosefu wa huduma muhimu ya maji na intaneti hosteli za UDSM za wanafunzi wa Masters na PhD ni mateso makubwa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Acha kukariri kwaiyo wewe unaona Masters ni issue kubwa sanaa ambao hawez kukaa hostel.
Achana na hostel kimamingo PhD na masters kaeni apartments nje kabisa ya chuo tena uishi kama uko kwako ikibidi familia mara Moja Moja ikutembelee
Hostel achieni undergraduate
 
Poleni sana alaf utume kazi kwa supervisor ikae miezi mitatu ndio utajutaa, pole wanafunzi wa PHD siji kusoma UDSM ng'o, na admission yenu siitaki tenaa.
 
Watakwambia internet ni luxury!
 
Poleni sana alaf utume kazi kwa supervisor ikae miezi mitatu ndio utajutaa, pole wanafunzi wa PHD siji kusoma UDSM ng'o, na admission yenu siitaki tenaa.
Haha nimecheka sana nchi za wenzetu mwanafunzi anapewa acces ya network kila mahali ndani ya chuo na hostel anajifunza vitu vingi sana huku kwetu unawek bando la buku usome online kozi ya masaa 40 utawezaana hahha lecture anakupa 2/10
 
Utajua hujui hahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…