Ukraine: Ajali ya helikopta yaua 15 akiwemo Waziri wa Mambo ya Ndani Denys Monastyrsky

Ukraine: Ajali ya helikopta yaua 15 akiwemo Waziri wa Mambo ya Ndani Denys Monastyrsky

Siametaka mwenyewe kuvamiwa njia zilikuwepo za kuepusha maafa lakini yy aliamua kuchagua vita,russia na ukraine walishasaini mkataba wa amani kila mtu anatakiwa aufuate yy akauvunja kusudi kutegemea kuna watu watamsaidia matokeo yake wamekaa pembeni wanampa machuma apambane mwenyewe yy alijua wataingiza jeshi la nato kumsaidia
We jamaa we eti wanampa machuma chuma. Alafu wayakusanye tu wauze sekerepa ili wajipoze machungu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hahahahahah jamaa wazushi kweli, bado tuna shida na kichwa cha yule mwehu zelensky
Sisi sio wazushi wewe we hujui fani yetu kua ni comedian tupo location tunafanya kazi

[emoji1732][emoji1732][emoji1714][emoji1714][emoji1732][emoji1732]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
wee jamaa bhana ngoja MK254 aje hapa

Vilianzia Crimea vitaishia Crimea, haya makelele ya maustadhi hayanipi tabu maana mimi uwoga niliokua nao nilipoona ule msafara siku za mwanzo, nilikuja kufurahi sana namna ulifyekwa, haya mengine ya kugombani tumji twa mpakani sio issue kwangu, Mrusi keshaishiwa hadi amesabaisha msiba Tanzania.
 
Hii itakuwa helicopter ya msaada kutoka marekani maana tunaambiwa vitu kutoka marekani vinashindwa ku function kwa sababu ya baridi kali

Mungu azilaze roho za hao watoto wa kindergarten mahali pema peponi
Ndio maana hawasemi Helicopter iliundwa kutoka Taifa gani!! Haingii akilini kwamba Pilot mwenye akili timamu anaweza kukubali kuendesha chopper kwenye hali mbaya ya hewa - iliyojaa ukungu: Zero visibility,high rise buildings na kibaya zaidi sehemu kubwa ya mji waKiev ni giza totoro hakuna taa/umeme - that was obviously a suicidal mission eti wanakwenda ku-check kinacho endelea frontline - mambo ya politics ya ajabu sana husikute wanatafuta sababu yakuhujumiana kisiasa - mambo kama haya yaliwahi kujitokeza huko Uganda wakati helicopter iliyo mbeba Kanali/General Oyite Ojoko maadui zake walipo jaza maji na mafuta kwenye fuel tank - mafuta yanaelea juu, maji yanakuwa chini ya tank, fuel ikiisha pump zinasukuma maji kwenda kwenye injini na kusababisha injini isimame ghafla na kuangusha helicopter - Ojok alipoteza maisha kutokana na walizi wake kuwa wazembe.
 
Back
Top Bottom