Ukraine: Ajali ya helikopta yaua 15 akiwemo Waziri wa Mambo ya Ndani Denys Monastyrsky

Vilianzia Crimea vitaishia Crimea, haya makelele ya maustadhi hayanipi tabu maana mimi uwoga niliokua nao nilipoona ule msafara siku za mwanzo, nilikuja kufurahi sana namna ulifyekwa, haya mengine ya kugombani tumji twa mpakani sio issue kwangu, Mrusi keshaishiwa hadi amesabaisha msiba Tanzania.
Safari hii vitaishia Kyiv 😅😅😅
 
Siametaka mwenyewe kuvamiwa njia zilikuwepo za kuepusha maafa lakini yy aliamua kuchagua vita,russia na ukraine walishasaini mkataba wa amani kila mtu anatakiwa aufuate yy akauvunja kusudi kutegemea kuna watu watamsaidia matokeo yake wamekaa pembeni wanampa machuma apambane mwenyewe yy alijua wataingiza jeshi la nato kumsaidia
Na vitaendelea tu kupiganwa, hata Russia anatamani hiyo vita iishe hata kesho ila Ukraine nao sasa ndiyo wanataka iendelee
 
Watu mnakimbilia uvamizi bila kujali sababu za uvamizi!Basi jitetee na mwisho wa siku nchi inageuzwa magofu!
Mpaka SMO inaisha,ukifika sehemu atakayoachiwa Ukraine itakuwa kama umefikia mwezini!
Ndiyo mnavyopangana, Russia mwenyewe anatamana kusanda maana hasara anayokutana nayo hakuitarajia yeye hesabu zake zilikua siku tatu, sasa hivi anapelekwa kwenye anniversay ya mwaka mmoja halafu mmekusanyana mnamsifia ujinga
 
Na vitaendelea tu kupiganwa, hata Russia anatamani hiyo vita iishe hata kesho ila Ukraine nao sasa ndiyo wanataka iendelee
Russia sio tu anatamani viishe hata kesho bali russia alikuwa anatamani hv vita visiwepo kabisaa ndio maana kabla ya vita putin alimbembeleza sn dogo aachane na mipango yake afuate mkataba waliotia saini lakini usa+ nato wakamjaza kichwa akajiona mkubwa nae mkubwa anaweza kupgana na russia eti watamsaidia.
 
Hii ndio akili sasa. na sasa alafu wanakimbilia oh kavamia yani watu wanalazimisha ule uwe uvamizi

Na Ukrein kayakanyaga acha aadabishwe kwanza.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Russia sio tu anatamani viishe hata kesho bali russia alikuwa anatamani hv vita visiwepo kabisaa ndio maana kabla ya vita putin alimbembeleza sn dogo aachane na mipango yake afuate mkataba waliotia saini lakini usa+ nato wakamjaza kichwa akajiona mkubwa nae mkubwa anaweza kupgana na russia eti watamsaidia.
Acha story za vijiweni hizo. Mbona Belarus yupo na Russia na hakuna nchi imeivamia? Yaani Ukraine ndiyo asiwe na Uhuru wa kuwa na Upande kisa Russia anaogopa?

Huyo Russia mbona ni Jirani na Marekani na wana share border? Finland naye tayari ameshachagua upande, mbona huyo hajamvamia? Tena wana share the longest border.
Yaani Ukraine kama nchi ndiye apangiwe namna ya kuishi na nchi nyingine? Yeye Russia nani anayempangia?

Wewe mwenyewe kwa akili zako za kawaida tu ukiambiwa uchague upande kati ya Ulaya/US na Russia lazima utawatosa Russia. Ila kwa IDs hizi za kujificha ndiyo mnajifanya Russians die harder fans. Hata Taleban, Wasomali huwakuti wakihangaika na Visa za Russia.

Iran wenyeww hakuna nchi utawakuta kwa wingi zaidi ya US, Russians wenyewe hakuna nchi utawakuta kwa wingi zaidi ya US, hlafu leo uwapangie Ukraine kuwalazimisha kuwa upande wa Russia. Hixo ni akili au matope?
 
Kama hutaki kuwa na upande mbona nyinyi mkichangishana silaha kwa ajili ya Ukraine na ni sawa na nchi nyingie zikijichanga kwa ajilk ya Russia sio sawa??
 
Russians wanamkataba gani na finland ambao finland kauvunja ? Ukraine amevunja makubaliano ya mkataba hapa sio suala mbona fulani kajiunga tunataka tujue hao wengine walikuwa na mkataba gani na russia km hawana mkataba usiwatolee mfano labda ungesem mbona finland kavunja makubaliano ya mkataba hamshambulii hapo sawa,yaani ww hauna tofauti na fei toto anavunja mkataba kwasababu azizi k analipwa hela nyingi anasahau hela anayolipwa yy mwenyewe ndio alisaini alipwe hvyo mjifunze kufuata makubaliano ya mkataba na mikataba muisome.
 
Nani alimchangia Russia ikawa siyo sawa? Ulijiuliza kwannini? Haya mtaje nikujibu
 
Baadhi ya huo uharibifu, wameutaka wao wenyewe kwa kufungamana na Taifa la uovu duniani (Marekani), na washirika wake.
Look at it this way: Ndani ya Marekani Rais na serikali wanakuwa na adabu sana kwa kila raia. Wanahakikisha wanatimiza maslahi ya raia wao kwa juhudi zote na kuwa tayari kuwajibishwa kisheria na kidemokrasia wakati wowote. Wanasemewa ovyo wakati wowote. Rais hawezi kumfokea hata mfagizi wa uwanja wa ndege akabaki salama. Ndani ya US raia ni mfalme.

Nje ya Marekani Rais wa US anatisha. Protokali yake si ya ulimwengu huu. Mtandao wa dola ya Marekani nje ya US ni kusimamia maslahi ya US tu. Hapo zile tunu za taifa lao zinawekwa pembeni; wanateremsha vitisho na vichapo tu kwa anayetishia maslahi ya taifa lao. Tena wakati mwingine inabidi wafiche au wapotoshe habari za matendo yao huko nje yasijulikane kwa raia wao ndani ya Marekani. Rejea harakati za kupinga vita za Vietnam, Iraq, n.k.

Sasa huku kwenu. Ni kawaida ya Rais na serikali yake kutishia na kuwafanyia maovu raia wake. Wanaimbiwa sifa na utukufu muda wote. Wanafokea, wanadhalilisha na “kutumbua” watu ovyo ovyo tu. Ndani ya nchi wanatisha hasa. Wanazunguka na ulinzi wa enzi za Hitler. Wakitoka nje wanakuwa na adabu kama ya watoto wa kindergarten. Wanaweza hata kupandishwa “school bus” bila ubishi. Wakishauriwa watumie tunu za US ndani ya nchi zao hawataki kabisa. Tena hapo wanakimbilia kumuunga mkono Mrusi na Mchina kama marafiki bora wa Afrika japo matrilioni ya michongo yao ya kifisadi wameituliza US na Western Europe!

Pima mwenyewe.
 
Russians wanamkataba gani na finland ambao finland kauvunja ? Ukraine amevunja makubaliano ya mkataba hapa sio suala mbona fulani kajiunga tunataka tujue hao wengine walikuwa na mkataba gani na russia km hawana mkataba usiwatolee mfano labda ungesem mbona finland kavunja makubaliano ya mkataba hamshambulii hapo sawa,yaani ww hauna tofauti na fei toto anavunja mkataba kwasababu azizi k analipwa hela nyingi anasahau hela anayolipwa yy mwenyewe ndio alisaini alipwe hvyo mjifunze kufuata makubaliano ya mkataba na mikataba muisome.
Kwamba haujui kuwa Helsink na Moscow waliingia mkataba mwaka 1992? Duuh!!

Huo Mkataba wa Ukraine na Russia ni upi usiovunjika? Na kwanini usivunjike?
Mkataba wa Ukraine na Russia ndiyo wa aina ileile alioingia na Finland.
Mbona Finland ameuvunja na hajamvamia? Mbona Lithuania, Estonia wote waliachana nao na hakuwavamia?

Huo Mkataba wa Kyiv na Moscow ulisainiwa baada ya Moscow kuweka pandikizi wake kuiongoza Ukraine, lakini siku zote Ukrainians wametaka kuwa upande wa Ulaya na NATO.

Russia aache ujinga wake na tabia zake za ugangwe na usela nondo, zimeshapitwa na wakati.
Ajifunze kujenga influence kama ya wenzake, lakini siyo kutishia machuma chuma, kama ni machuma-chuma hata sisi tunayo hapo Liganga na Mchuchuma.
Wananchi wake wenyewe wanakimbilia Marekani kuliko nchi nyingine yoyote ile halafu anabaki anakatakata viuno tu.
 
Back
Top Bottom