mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Hadi sasa Ukraine imepewa silaha lukuki za mabilioni ya pesa, lakini imedai kuwa HAZITOSHI!!. Walipopewa HIMARS wakasema sasa watashinda, lakini wimbo wa HIMARS hauimbiki tena, wakataka vifaru vikubwa ili washinde. Wakapewa vifaru vya mjerumani LEOPARDS na vifaru vya Marekani ABRAHAMS na vya Uingereza kwa mbwembwe.
Sasa hivi hizo mbwembwe hazisikiki tena maana mrusi anavichoma moto kama alivyowaambia mwanzoni. Wakapelekewa Patriot air defense lakini kwa sasa huo wimbo wa Patriot hauimbiki tenas.
Ifahamike kuwa ukraine ilijaribu kuanzisha kile wanachokiita COUNTER OFFENSIVE au mashambulizi ya kutaka kuing'oa urusi kwenye majimbo iliyoyateka lakini wakashindwa vibaya.
Kwa sasa Ukraine wanadai mchana kweupe kuwa hizo silaha walizopewa HAZITOSHI kuishinda Urusi. Wanataka wapewe ndege za kizazi cha nne za Marekani F-16. Wanadai wakipewa hizo wataishinda Urusi. Lakini Marekani inafahami kuwa Urusi ina S-400 ambazo zina uwezo wa kuzidungua hizo F-16.
Mwisho wa siku Ukraine watataka wapewe silaha za nyuklia maana kila wanachopewa hakijaweza kuizuia Urusi.
Zelensky ameigharimu sana Ukraine. Mwisho wa siku Marekani atakuja kumgeuka Zelensky na watamkamata na kumfunga. Wanayajua maovu yake lakini kwa sasa wanayafumbia macho ili aendelee kutumika katika harakati zao za kuidhoofisha urusi. Mikakati hii itakaposhindwa lazima watamtosa!! Walifanya hivyo kwa Osama bin Laden, kwa Sadaam Hussein na kwa Gadaffi.
=============

Ukraine claims it will ‘win the war’ with F-16s
Air defense systems supplied by the West are not enough to counter Russian drones and cruise missiles, according to Kiev
FILE PHOTO: A US F-16 fighter jet © Global Look Press / US Air Force / Msgt. Matthew Plew
F-16 fighter jets could be a game changer in the ongoing conflict between Moscow and Kiev, a spokesman for the Ukrainian Air Force Command, Yury Ignat, claimed in remarks to Ukraine’s Espreso TV broadcaster on Saturday.
“When [we] have F-16, we will win this war,” Ignat said, adding that Kiev has repeatedly told its Western backers that the air defense systems it has already obtained from the West are insufficient to protect all of Ukraine’s territory against Russian air strikes.