Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna vita hapo mkwala tu Dunia ya leo vita baina ya nchi na nchi sio rahisi. Vita iliyopo ni ya ndani ya wenyewe kwa wenyewe sio nchi na nchi.Hakuna kitu inashinda wananchi wenye hari na nia ya kufa kulinda nchi yao.Watu wa namna hii wanakuaga hatari sana.Ni ngumu sana kuwawekea order ukawatawala labda uamue kupiga nuclear wafe wote.
Unayumba sana Mkuu Sir Chief!Hakuna kitu inashinda wananchi wenye hari na nia ya kufa kulinda nchi yao.Watu wa namna hii wanakuaga hatari sana.Ni ngumu sana kuwawekea order ukawatawala labda uamue kupiga nuclear wafe wote.
Na waitalianoWarusi ni wabaguz sana kama wajeruman tu.
Hapana siyumbi.Unayumba sana Mkuu Sir Chief!
Nakumbuka raia kama Hawa walishika bunduki pia nchini Iraq dhidi ya majeshi ya Marekani na washirika wake,lakini haikusaidia kitu.
Wenye kwa wenyewe kina nani? Urusi na Ukraini si jamii moja ila kuna muingiliano baina yao.Hakuna vita hapo mkwala tu Dunia ya leo vita baina ya nchi na nchi sio rahisi. Vita iliyopo ni ya ndani ya wenyewe kwa wenyewe sio nchi na nchi.
Mh? Achana na propaganda embu ludi kitabuniUnayumba sana Mkuu Sir Chief!
Nakumbuka raia kama Hawa walishika bunduki pia nchini Iraq dhidi ya majeshi ya Marekani na washirika wake,lakini haikusaidia kitu.
Kwenye huu mgogoro Russia wakosea wapi?Media zimefanya watu wawaogope warusi wako Poa tu mpaka uwachokoze nilikua najifunza kirussia and met 3 Russians they were so cool and willing to help nawakubali sana compared to those Americans and English people kwanza most of them are mean.
NATO wao wataweka vikwazo tuIna maana majeshi ya NATO hayatoshi?