Ukraine ipo tayari kwa lolote, wananchi wake wataingia vitani kupigana na majeshi ya Urusi

Ukraine ipo tayari kwa lolote, wananchi wake wataingia vitani kupigana na majeshi ya Urusi

Sasa kwneye huu mgogoro Urusi yeye si ndo korofi?maana naona navunja ahadu yake ya kundo ingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote ya kigen.
Korofi ni NATO,, baada ya vita baridi walikubaliana NATO na warsaw pact zivunjwe ,, mrusi akatimiza,, marekani na wenzake wakaendelea na NATO huku wakinyakua nchi kuizunguka Russia,,
Russia wamestuka kusa wanazidi kuzungukwa tu, ndiposa wameweka jeshi tayari
 
Wenye kwa wenyewe kina nani? Urusi na Ukraini si jamii moja ila kuna muingiliano baina yao.
Vita vya wenyewe kwa wenyewe mfano Congo . Sio eti Congo na Rwanda wazichape au Congo na Zambia hapana vita sio lelemama mataifa sikuhizi yanaogopana.
 
Hapo hakuna Vita tena mrusi kaogopa kuliwa kichwa kahisi kuna michezo michafu kutoka magharibi kaona isiwe shida sema anaona aibu kuliondoa jeshi ....maana amepaniwa Kwa nuclear za kutisha kutoka magharibi
 
Korofi ni NATO,, baada ya vita baridi walikubaliana NATO na warsaw pact zivunjwe ,, mrusi akatimiza,, marekani na wenzake wakaendelea na NATO huku wakinyakua nchi kuizunguka Russia,,
Russia wamestuka kusa wanazidi kuzungukwa tu, ndiposa wameweka jeshi tayari
Bado hoja ni dhaifi Huwez kupigia mstali Marekani au Russia et wanaweza amua future ya poland au Ukrain hao Wote hawana mamlaka mkuu.Russia anatakiwa akubali tu she falure state
 
Bado hoja ni dhaifi Huwez kupigia mstali Marekani au Russia et wanaweza amua future ya poland au Ukrain hao Wote hawana mamlaka mkuu.Russia anatakiwa akubali tu she falure state
Failure state,unaota Mkuu kawaulize NATO na USA kuhusu hili.
Ili uitawale hii dunia kwa amani ni lazima ui eliminate Urusi,vinginevyo usuperpower wako ipo siku utaota mbawa tu.Ndio maana USA anafanya kila aliwezalo kumzungukan Urusi.
 
Hapo hakuna Vita tena mrusi kaogopa kuliwa kichwa kahisi kuna michezo michafu kutoka magharibi kaona isiwe shida sema anaona aibu kuliondoa jeshi ....maana amepaniwa Kwa nuclear za kutisha kutoka magharibi

Mrusi ndio kisiwa cha nuclear sasa.
 
Ukraini imeamua sasa kufundisha wananchi wake na kuongeza jeshi la akiba hata na lisilo na akiba.kwa ajili lolote litakalo tokea na mzozo huu baina mbili kati ya ukraini na vikosi vya Urusi.

View attachment 2106112
waendelee kujidanganya tuu [emoji2][emoji23][emoji23] ila kwan c majeshi ya NATO yanapelekwa wanakhofia nn?
 
Hakuna kitu inashinda wananchi wenye hari na nia ya kufa kulinda nchi yao.Watu wa namna hii wanakuaga hatari sana.Ni ngumu sana kuwawekea order ukawatawala labda uamue kupiga nuclear wafe wote.
Mfano wa Taliban
 
Unayumba sana Mkuu Sir Chief!
Nakumbuka raia kama Hawa walishika bunduki pia nchini Iraq dhidi ya majeshi ya Marekani na washirika wake,lakini haikusaidia kitu.
Zile zilikuwa propaganda tu za Sadam Hussein, Chemical Ali na kina Tariq Aziz.
 
Sasa kwneye huu mgogoro Urusi yeye si ndo korofi?maana naona navunja ahadu yake ya kundo ingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote ya kigen.
kaingilia mambo yandani ya nchi gani?
kuna watu wanaingilia mambo yandani yanchi zawatu kwamba hamuwaoni hamuwasikii ama ndio propaganda zimewawezaa
 
Media zimefanya watu wawaogope warusi wako Poa tu mpaka uwachokoze nilikua najifunza kirussia and met 3 Russians they were so cool and willing to help nawakubali sana compared to those Americans and English people kwanza most of them are mean.
hv unahisi nan mchokozi kweny huo mgogoro
 
kaingilia mambo yandani ya nchi gani?
kuna watu wanaingilia mambo yandani yanchi zawatu kwamba hamuwaoni hamuwasikii ama ndio propaganda zimewawezaa
So kama kun nchi zinaingilia mamb ya ndani ya nchi nyingine then ndo ruksa urusi kutaka kumpangie Ukraine mambo yake ya ndan ? hv waafrika nan katuroga?
 
Huyu Russia asithubutu kuanzisha vita, atapata kipigo ambacho hatakaa asahau milele.

Hayo mataifa ya magharibi kwa sasa yana silaha za kisasa na hatari na pia wana uchumi mzuri sana ukilinganisha na wenyewe Russia kiasi kwamba kama vita vikizuka Russia watakuwa hawapigani na Ukraine bali mataifa yote ya magharibi.

Russia waondoe wanajeshi wao na kuwarejesha nyumbani ili wajiepushe na shari inayoweza kuwapata, wasijidanganye kwamba wanaweza kushinda vita na wakumbuke yaliyowatokea nchini Afghanistan miaka ya nyuma.
 
Back
Top Bottom