Korofi ni NATO,, baada ya vita baridi walikubaliana NATO na warsaw pact zivunjwe ,, mrusi akatimiza,, marekani na wenzake wakaendelea na NATO huku wakinyakua nchi kuizunguka Russia,,Sasa kwneye huu mgogoro Urusi yeye si ndo korofi?maana naona navunja ahadu yake ya kundo ingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote ya kigen.
Umeuliza swali gumuu sanaa ungekua karibu angekukata kichwa huyo akaondoka nacho kwa wivu mana si kwa kuwaza hukoHao wajeda watano uliokutana nao uwa wanazunguka pamoja toka waachishwe kazi ama?
Vita vya wenyewe kwa wenyewe mfano Congo . Sio eti Congo na Rwanda wazichape au Congo na Zambia hapana vita sio lelemama mataifa sikuhizi yanaogopana.Wenye kwa wenyewe kina nani? Urusi na Ukraini si jamii moja ila kuna muingiliano baina yao.
Hii Vita ikitokea ndio atajua ukubwa wake......atachakazwa mpaka ajute.......watu Wana tafuta sababu naye yeye mwenyewe akijiingiza tunduniUrusi taifa kubwa.
Bado hoja ni dhaifi Huwez kupigia mstali Marekani au Russia et wanaweza amua future ya poland au Ukrain hao Wote hawana mamlaka mkuu.Russia anatakiwa akubali tu she falure stateKorofi ni NATO,, baada ya vita baridi walikubaliana NATO na warsaw pact zivunjwe ,, mrusi akatimiza,, marekani na wenzake wakaendelea na NATO huku wakinyakua nchi kuizunguka Russia,,
Russia wamestuka kusa wanazidi kuzungukwa tu, ndiposa wameweka jeshi tayari
Kwa hujui wakrain wana lugha yao?kwamba ukrain ilikuwa nchi kabla ya u.s.s.r?Vita vya wenyewe kwa wenyewe mfano Congo . Sio eti Congo na Rwanda wazichape au Congo na Zambia hapana vita sio lelemama mataifa sikuhizi yanaogopana.
Failure state,unaota Mkuu kawaulize NATO na USA kuhusu hili.Bado hoja ni dhaifi Huwez kupigia mstali Marekani au Russia et wanaweza amua future ya poland au Ukrain hao Wote hawana mamlaka mkuu.Russia anatakiwa akubali tu she falure state
Hapo hakuna Vita tena mrusi kaogopa kuliwa kichwa kahisi kuna michezo michafu kutoka magharibi kaona isiwe shida sema anaona aibu kuliondoa jeshi ....maana amepaniwa Kwa nuclear za kutisha kutoka magharibi
waendelee kujidanganya tuu [emoji2][emoji23][emoji23] ila kwan c majeshi ya NATO yanapelekwa wanakhofia nn?Ukraini imeamua sasa kufundisha wananchi wake na kuongeza jeshi la akiba hata na lisilo na akiba.kwa ajili lolote litakalo tokea na mzozo huu baina mbili kati ya ukraini na vikosi vya Urusi.
View attachment 2106112
Mfano wa TalibanHakuna kitu inashinda wananchi wenye hari na nia ya kufa kulinda nchi yao.Watu wa namna hii wanakuaga hatari sana.Ni ngumu sana kuwawekea order ukawatawala labda uamue kupiga nuclear wafe wote.
Zile zilikuwa propaganda tu za Sadam Hussein, Chemical Ali na kina Tariq Aziz.Unayumba sana Mkuu Sir Chief!
Nakumbuka raia kama Hawa walishika bunduki pia nchini Iraq dhidi ya majeshi ya Marekani na washirika wake,lakini haikusaidia kitu.
kaingilia mambo yandani ya nchi gani?Sasa kwneye huu mgogoro Urusi yeye si ndo korofi?maana naona navunja ahadu yake ya kundo ingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote ya kigen.
endelea kuota[emoji2] kama wameishindwa IRAN watajaribu kwa RUSSIA [emoji12][emoji12]Hii Vita ikitokea ndio atajua ukubwa wake......atachakazwa mpaka ajute.......watu Wana tafuta sababu naye yeye mwenyewe akijiingiza tunduni
hv unahisi nan mchokozi kweny huo mgogoroMedia zimefanya watu wawaogope warusi wako Poa tu mpaka uwachokoze nilikua najifunza kirussia and met 3 Russians they were so cool and willing to help nawakubali sana compared to those Americans and English people kwanza most of them are mean.
So kama kun nchi zinaingilia mamb ya ndani ya nchi nyingine then ndo ruksa urusi kutaka kumpangie Ukraine mambo yake ya ndan ? hv waafrika nan katuroga?kaingilia mambo yandani ya nchi gani?
kuna watu wanaingilia mambo yandani yanchi zawatu kwamba hamuwaoni hamuwasikii ama ndio propaganda zimewawezaa
Swali la kichochezi mkuuHao wajeda watano uliokutana nao uwa wanazunguka pamoja toka waachishwe kazi ama?