Ukraine: Iron Dome ya Israel haiwezi mudu kuzuia makombora ya Urusi, Iron Dome imeundwa kuzuia makombora dhaifu yatengenezwayo gereji kwa tech duni

Hao ndio binadamu sasa wenye uwezo wa ku-balance mambo regardless ni mabaya kwao au la,sio kama madikteta kwao ukweli ukiwa mchungu hautakiwi!.
 
Duuh mkuu unaeleza kitaalam, ila nimeelewa, asante sana
 
Naona Belarus walishajaribu kushambulia targets za aridhini kwa kutumia mifumo ya S-300. Inaelezwa kuwa toka 1979 waundaji wa S-300 waliziwekea uwezo huo wa kushambulia targets za aridhini za muhimu zaidi.

Halikadhalika S-400 pia zina uwezo huo.

Jana Ukraine imeripoti kuwa Urusi inatumia makombora ya S-300 kushambulia tageti za aridhini (ingawa Urusi bado haija-confirm hilo)
===

 
Hapa ndipo napokukubali Mtaalam wetu! Endelea kutulisha madini bila ubaguzi wa kambi zetu katika vita hii ya US/NATO vs RUSSIA!
 
Hio S-400 kuiweka hapo No.1 roho inawauma sana sema ndo aibu. Nakumbuka pale syria US alirusha sana kombora na zote zikawa intercepted na zinadunguliwa na S-400 mpaka akasanda mwenyewe.

Hio S-400 tu hatujaweka S-500 na 550
Zilikuwa s300,
 
Yaani awa watu Putin anawafanya mbaya sana, wanajiuliza na kujijibu wenyewe huku mwamba yye anachapa tuu, ila waukraine wa Buza wanasema alikurupuka kuishambulia nchi yao,kama hivyo ndivyo,angejipanga jee???🤔🤔🤔
 
Ngojea kwanza
Hv niweweeee ama nimekosea kukuona MKUU[emoji23][emoji16][emoji23]
Ni Mimi kabisa kwenye ukweli hua naacha ushabik huwez linganisha Russian na Israel wameachana sana ,hata China haingii kwa Russia ,Russia mbabe wanayelingana ni US hawa mwamba wawili mziki wake ni hatar ni kuzimu ya dunia
 
Huyu waziri ameshawapa Urusi soko la uhakika la silaha zao pale Middle East, sasa Arabs na anti- Israel wote watanunua silaha za Russia.
 
Hizi zinalinda maeneo gani

Je kwa Tanzania zinapaswa wekwa wapi na wapi ili makombora yasiingie nchini....ukizingatia nchi ni kubwa sana..

Nishawahi ona magari makubwa yamebeba vitu kama hvyo je zile ni nini haswa? Kwenye siku ya maadhimisho ya siku ya uhuru
 
Tanzania haina hizo za ulinzi wa anga. Ndege zenyewe tu za kizamani ziko 6 nadhani.
 
Tanzania haina hizo za ulinzi wa anga. Ndege zenyewe tu za kizamani ziko 6 nadhani.
Yes namaanisha mfano tz tutaweka wapi na wapi.. maana hata tukibahatisha pata mbili ..bado haziwezi linda nchi nzima dhidi ya kombora
 
Tanzania haina hizo za ulinzi wa anga. Ndege zenyewe tu za kizamani ziko 6 nadhani.
Majasus wetu wapo vzr.

Wanazuia hatar kabla wahusika hawajaanza utekelezaj.

Licha ya kuzungukwa na majiran ambao wana hali tete kiusalama lkn ndani kwetu bado ni salama.

Na ndio maana hayo mavifaa kwetu si kipaumbele kulingana na mazingira ya sasa.
 
Yes namaanisha mfano tz tutaweka wapi na wapi.. maana hata tukibahatisha pata mbili ..bado haziwezi linda nchi nzima dhidi ya kombora
Hizo si mnazitega kuzunguka mipaka, moja inakaa kusini huko mtwara ingine kaskazini juu kabisa mwanza kule, nyengine pwani, nyengine magharibi
 
Acha kupotosha watu wewe kwa ushabiki wako wa kijinga....iron dome sio kwa ajili ya maroketi makubwa makubwa kama yanayotumiwa Ukraine....iron dome ni kwa ajiri ya maroketi madogo Tena % kubwa ni home made na wapalestina....ndio maana kwenye mistari ulichora kwa rangi ya blue Kuna sehemu wamesema nimeweka kwa rangi nyekundu.....soma hapo....
Alafu nipe chanzo chako Cha habar kama Kuna sehemu Israel wamesema kuwa iron dome inaweza kutungua makombora makubwa au ballistic missile?

Nb:
Punguza mahaba
 
Haka kamfumo ni kwa matumizi ya nyumbani tu🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…