Israel huwa hawatoi hovyo silaha zake, hata Marekani walipoioatia Iron Dome battery moja ya majaribio waligoma kutoa keys hivyo Marekani haiwezi kufanya integration na mifumo yake ya ulinzi kuwa na layer ya defence. Sasa waligoma kutoa keys kwa Marekani iliyochangia gharama za development ya huo mfumo ndio waje kuutoa kwa Ukraine.
Achana na Iron Dome ya kina Hamas na Hezbollah. David's Sling ndio mfumo wa makombora ya kisasa ambao hata huwa hautumiki ovyo kwa kuwa maadui wa Israel wanatuma mabati hewani hayana hata guidance. Kwa sasa hata Iron Dome wanaona ni dharau kuitumia, unatumia missile ya $30,000 kufanya interception ya bati la $600 hewani. Sasa wako wanadevelop mfumo wa kutumia laser, gharama ni umeme tu na spare parts