Ukraine: Iron Dome ya Israel haiwezi mudu kuzuia makombora ya Urusi, Iron Dome imeundwa kuzuia makombora dhaifu yatengenezwayo gereji kwa tech duni

Ukraine: Iron Dome ya Israel haiwezi mudu kuzuia makombora ya Urusi, Iron Dome imeundwa kuzuia makombora dhaifu yatengenezwayo gereji kwa tech duni

Na wamezimodify kwelikweli sasa hivi zinaweza kufanya long range mission mfano zinaweza kuruka moja Kwa moja toka Israel zikaenda mpaka Tehran na kurudi bila ya kua refueled mid air na tankers. Na wametengeza mabomu yake yenye uzito wa tani moja maalum Kwa kubomoa miundombinu iliyofukiwa chini ya ardhi
Hebu wajaribu kuruka mpk Tehran tuone watakavyoshushwa km USA na drone lake la ghrama kubwa ilipgwa kombora moja .
 
Na wana external tanks wametengeza ndio maana range yake kubwa. Lazima wapate corridor kutoka nchi moja ya Kiarabu wapite ndio waingie Iran kwa kutumia F-35, kama walivyofanya mission ya Iraq kwenye Osirak nuclear site miaka ya 1970 sijui 80
Iran level nyingine usiifananishe na Iraq Wala Libya au Israel na bwanake USA wanajua ndio maana Iran kathubutu kupga camp za USA na hakuna walichomfanya
 
US aliishia kupiga kelele na hawakufanya kitu. Uyo dogo Israel level zake ni palestina tu, mziki wa Irana hauwezi atulie tu.
 
Tanzania Ukishashiba kande ukaingia kwenye net na kupitia sites mbili tatu tayari unajiona mtaalamu wa makombora aliyefuzu….kazi kweli kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakumbuka hii scenario. Bila Israel kuingia makubaliano na Russia kuhusu ruhusa ya Syrian airspace tungeona mengi na haya maajabu yanayoshuhudiwa hapa yengeshajulikana muda.

Ni kama Turkey ilipofikia makubaliano na Russia kuhusu patrols za Northern Syria. Hizi Bayraktars zilianzia kazi uko tukahisi bahati mbaya, hapo zilitoka kuonyesha uwezo kule Libya nako tulihisi wamebahatisha. Tukakaa kidogo zikaonekana Nagorno-Karabhak nikaamini rasmi zina uwezo
Lakini huko Ukraine hizo Drones za Bayraktars zimeishia kuchomwa na Laser weapons.
 
Lakini huko Ukraine hizo Drones za Bayraktars zimeishia kuchomwa na Laser weapons.
Kama ambavyo vifaru vya Urusi vimefanywa vyuma chakavu kwa kutumia hizo hizo Bayraktars
20220708_222759.jpg
 
Unakaribia kuvua nguo wewe!

Sio kwa kuchanganyikiwa huko [emoji1787][emoji1787][emoji56][emoji56][emoji56][emoji12][emoji12][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Nivue nguo kwa habar za uongo...we kenge nini?....unaandika andika uongo na kenge wenzio ambao maamuma wanakupongeza[emoji848]
 
Hii ya iron dome kuwa ya makombora ya wapalestina mnaisema leo ,siku zote mlikuwa mnaisifu hakuna kitachokatiza, Leo aibu imewapata.
Wapi ilisemwa iron dome ya kuzuia ballistic?
 
Israel huwa hawatoi hovyo silaha zake, hata Marekani walipoioatia Iron Dome battery moja ya majaribio waligoma kutoa keys hivyo Marekani haiwezi kufanya integration na mifumo yake ya ulinzi kuwa na layer ya defence. Sasa waligoma kutoa keys kwa Marekani iliyochangia gharama za development ya huo mfumo ndio waje kuutoa kwa Ukraine.

Achana na Iron Dome ya kina Hamas na Hezbollah. David's Sling ndio mfumo wa makombora ya kisasa ambao hata huwa hautumiki ovyo kwa kuwa maadui wa Israel wanatuma mabati hewani hayana hata guidance. Kwa sasa hata Iron Dome wanaona ni dharau kuitumia, unatumia missile ya $30,000 kufanya interception ya bati la $600 hewani. Sasa wako wanadevelop mfumo wa kutumia laser, gharama ni umeme tu na spare parts
Waeleze mkuu.... 70% ya hili jukwaa wamejaa vilaza
 
Hii dunia Ina maajabu sana!!! Anga la Syria lipo chini ya Urusi katika Air Defense, Muisrael akitaka kufanyia operation za anga Syria lazima aende Moscow akapige magoti aombe ridhaa ya kufanya mashambulizi maeneo mbalimbali...
RUSSIA SIYO MALAWI
 
Hii dunia Ina maajabu sana!!! Anga la Syria lipo chini ya Urusi katika Air Defense, Muisrael akitaka kufanyia operation za anga Syria lazima aende Moscow akapige magoti aombe ridhaa ya kufanya mashambulizi maeneo mbalimbali...
RUSSIA SIYO MALAWI
Russia na Israel waliamua kukubaliana kuhusu anga la Syria kuepuka friendly fire na incident za kushambuliana. Kama sio hivyo silaha za Urusi zingeaibishwa sana na Israel pale Syria. Ilianza Pantsir ikapigwa, Russia ikadai crew waliwasha simu system ikiwa on ndio maana. Ikaja hili tukio la Israel kusababisha ndege ya wataalamu 25 wa Russia kudunguliwa na Syria. Israel alichosaidia ni kueleza 'kusikitishwa' na tukio hilo
IMG_20220712_230917.jpg
 
Back
Top Bottom