Ukraine kama Nyumbani kunazidi kunoga

Ukraine kama Nyumbani kunazidi kunoga

Kwa taarifa tu, NATO ndio wamemzuia kichaa Putin kuiteka Ukraine. Na hapo NATO iliwekeza kiduchu tu, Putin kachanganyikiwa hadi kaondoa majeshi. Je, wakisema wanaingia jumla, si ndani ya masaa mawili NATO inatinga Kremlin na Putin anakuwa mgeni wa lazima wa Kiduku!!!
Waingie wanangojea nn
Au wanapenda haya yanayofanywa na PUT IN
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Hali ya usalama Ukraine inazidi kuimarika.

Ilikuwa mkuu wa umoja wa Ulaya kutembelea Kyiv, Ukraine na sasa Boris Johnson naye katia timu huko:

View attachment 2181955

Nani angethubutu kuweka mguu Kyiv kama kitisho cha Putin kingekuwa kile cha mwezi uliopita?

Wamefika wazito hawa Kyiv vipi hamna silaha zinazopelekwa huko?

Dhahiri hii ni NATO ana kwa ana na Urusi ndani Ukraine. Ni wazi kuwa Ukraine peke yake hana ubavu huu.

Kazi kwao akina nyasi tokea Ukraine hadi makwetu Buza kwa Mtogole.
Unamaanisha kwamba Putini ameshindwa ata kurusha jiwe wakati kina Boris Johnson na wenzake wa ulaya wakiwa hapo Ukraine kwenye majengo ya kifahari na mikutano yao?

Ivi wakati viongozi wa ulaya wanaingia Kyiv Putini alikuwa likizo?

Finland na Sweden washasema na wao hawataki tena upumbav wa Putini mwezi June na wao rasmi NATO., Putini kumbe ni ndaro tu kwenye uwanja vita hana mambo
 
nato yakupuuzwa tu... wanajifanya wako bize kumtembelea huyo msanii kipindi hiki Russia ameishabomoa nchi yote na kusepa halafu wao ndo eti wanajifanya wanakuja kuwatia moyo wa Ukraine.. mi nitaona wa maana wakiweza kukaa msitari wa mbele kuikomboa donbass na krimea
ni kama umezama mawazoni mwangu......
 
Hao wanene wanakwenda Ukraine kwa sababu anga ya Ukraine inadhibitiwa na NATO kwa sasa.

Wa kusepa anasepa hivi au anakimbizwa ndugu?

IMG_20220410_002330_133.jpg

IMG_20220410_002616_496.jpg
 
Hatushabikii vita ila tunasimama na haki. Hii ndiyo tofauti yetu sisi kwa Mtogole.

Hakuna asiyejua Crimea kama Donbas na Lohansk hivi sasa zinakaliwa na Urusi kama ilivyokuwa Kagera na Amini.

Kupanua mipaka ya nchi kijeshi ni kinyume na sheria za kimataifa.

Vita ndiyo kwanza kungali asubuhi.
nimepitia comment zako tangu kule mwanzo nimegundua kijana hata hujui hyo vita chanzo chake halisi cha ndani kabisa ni nin??

yani wew Unadhani putin mwenye ardhi kubwa mfanano wa bara zima ndo aamue kupoteza siraha zake, majeshi yake na kuirisk credibility ya nchi yake sababu kuu ni kuchukua hivo vijimbo viwili???

hebu fatilia vzuri chanzo cha ndani kabisa cha hyo vita upate kujifunza jambo!!!!!
 
ni kama umezama mawazoni mwangu......

Wamefika Kyiv wanene kabisa kutoka Poland, Slovakia, Czech na sasa UK.

Usishangae baba lao kutinga pale na Marine Moja.

Yote hii ni kwa sababu NATO yuko pale. Ndiye aliyemfurusha Mrusi.

Nikiazima maneno ya Mwigulu daktari wa uchumi - "Ukraine ni salama na anga lake ni himilivu."
 
nimepitia comment zako tangu kule mwanzo nimegundua kijana hata hujui hyo vita chanzo chake halisi cha ndani kabisa ni nin??

yani wew Unadhani putin mwenye ardhi kubwa mfanano wa bara zima ndo aamue kupoteza siraha zake, majeshi yake na kuirisk credibility ya nchi yake sababu kuu ni kuchukua hivo vijimbo viwili???

hebu fatilia vzuri chanzo cha ndani kabisa cha hyo vita upate kujifunza jambo!!!!!

Wewe si ni huyo Mrusi wa Buza pale?

IMG_20220302_122620_294.jpg

Wewe ni wa kuhurumia.
 
Hali ya usalama Ukraine inazidi kuimarika.

Ilikuwa mkuu wa umoja wa Ulaya kutembelea Kyiv, Ukraine na sasa Boris Johnson naye katia timu huko:

View attachment 2181955

Nani angethubutu kuweka mguu Kyiv kama kitisho cha Putin kingekuwa kile cha mwezi uliopita?

Wamefika wazito hawa Kyiv vipi hamna silaha zinazopelekwa huko?

Dhahiri hii ni NATO ana kwa ana na Urusi ndani Ukraine. Ni wazi kuwa Ukraine peke yake hana ubavu huu.

Kazi kwao akina nyasi tokea Ukraine hadi makwetu Buza kwa Mtogole.

Anayekuja kukuona baada ya kuchezea kichapo inawezekana anakuja kuona ulivyochakazwa. Haimaanishi anakuonea huruma maana moto ulivyowashwa walisikilizia kwa mbaaaaali
 
Anayekuja kukuona baada ya kuchezea kichapo inawezekana anakuja kuona ulivyochakazwa. Haimaanishi anakuonea huruma maana moto ulivyowashwa walisikilizia kwa mbaaaaali

Keyword yako pale ni "inawezekana." Nina sababu kweli ya kuendelea kudadavua zaidi kutokea hapo?

Kwa nini hudhani kuwa hilo ni hakikisho kuwa anga sasa ni salama na fedhuli bazazi yule si tishio tena? Kwamba kimsingi kesha furushiliwa mbali?
 
Siyo tu, new realities zinaweza mfanya mtu hata kuachana kabisa na malengo yote ya mwanzo.

Sina hakika kama muda wa amri ya Putin ya kumtaka Zelensky kuachia madaraka ungali hauja expire tu. 😂😂
Amri ya muuaji Putin haiwezi kuwa na nguvu baada ya kudhihirika jeshi lake ni mdebwedo😊
 
Anayekuja kukuona baada ya kuchezea kichapo inawezekana anakuja kuona ulivyochakazwa. Haimaanishi anakuonea huruma maana moto ulivyowashwa walisikilizia kwa mbaaaaali
Moto wawashe halafu wakimbie.Ningemwona Putin mwanaume kweli kama asingerudi nyuma,alibakiza km chini ya 20 kuingia Kyiv halafu akakimbia,angeingia pale Kyiv ningekuelewa lakini nnje ya hapo ni porojo tu.
 
Kakazwe mbwa wewe kila thread unaandika Udhwalimu mara Yumkini..

Nyie wazamiaji mnasumbua wenye nchi yetu

Wewe kila post unaandika "mbwa, kukazwa" hiyo kama ndiyo fani yako, siyo kwa wengine. Komaa nayo.

Maneno hutanichagulia wewe.

Yumkini u dhwalimu uchwara fulani kutokea pande za knyama pale siyo? Dogo kawanyoosha eeh?

Eti wenye nchi yenu? Mwenye nchi utakuwa wewe?

Disgusting!

Habari ndiyo hiyo.
 
Tafsiri ya kushindwa vita ni "kushindwa kufikia malengo yako ya kijeshi" na kisha kuyaacha.
Kwa mantiki hiyo Urusi keshashindwa vita maana alilolitaka safari hii hakuna hata moja alilofanikiwa, na yeye uchumi wake unaendelea kupigwa vikwazo mpaka arudi kwenye stone age
 
Back
Top Bottom