Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Sasa hivi Ukraine anapewa hizi latest Starstreak ManpadsJavelin mkuu Putin hatakaa asahau hayo makombora ya Kg 12 tuuView attachment 2182036View attachment 2182038
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi Ukraine anapewa hizi latest Starstreak ManpadsJavelin mkuu Putin hatakaa asahau hayo makombora ya Kg 12 tuuView attachment 2182036View attachment 2182038
Unaongea kinyonge mno.UKRAINE ajiunge na NATO
Maana kaishashinda hii VITA
Kazi imeanzaWiki 3 zijazo Ukraine atakuwa na vifaa hatari mno
Donbas haianguki na na Crimea inarudi , na Russia italipa Gharama, kaa Kwa kutulia ,nato yakupuuzwa tu... wanajifanya wako bize kumtembelea huyo msanii kipindi hiki Russia ameishabomoa nchi yote na kusepa halafu wao ndo eti wanajifanya wanakuja kuwatia moyo wa Ukraine.. mi nitaona wa maana wakiweza kukaa msitari wa mbele kuikomboa donbass na krimea
Pesa za Russia zilizopigwa Pini ndo zitalipa hzo Gharama hakuna cha bure hapaNaona Putin alikuwa na malengo ya kubomoa majengo hovyo hovyo na kusepa! Sijui majengo ndo yanajiunga NATO!
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Unajaribu kurukaruka af huelewi sababu
Twende taratibu Hau🤣🤣
Kwanza Ukraine si taifa dhaifu KIUCHUMI NA KISILAHA....
Zelensky alijua iko siku mwamba Putin atamuingilia KYIV....
Akajiandaa vyema....maandalizi yakihusisha na kuunganisha TUNNELS zenye kila kitu kutoka kila jumba moja kuelekea jingine DOWNTOWN Kyiv......
Kwa hiyo jamaa wanapigana sana GORILLA FIGHT.....na hii si rahisi hata kidogo....ni hatari sana kwa INFANTRY wa URUSI.....
Gorilla Fight ilitumiwa sana na TALIBAN dhidi ya Urusi na hata dhidi ya marafiki zako AMERICA.....
Simlaumu Putin bali kuyaondosha majeshi amejifunza kitu na anakwenda KUJIPANGA UPYA.....
Unaweza kutuwekea na zile athari za majengo yaliyoshukiwa na SUPERSONIC MISSILES za kamarada Putin ?!!! 🤣
Je naongopa kuwa ZELENSKY amekubali kuwa UKRAINE haitojiunga NATO ?!!!
Je huu si USHINDI kwa Comandante Putin?!!!
Mbona hujiulizi mashoga na wenye mlengo huo wanashabikia Ukraine?
CRIMEA ile ni RUSSIA
kama unawaza kwamba eti CRIMEA itarejea UKRAINE waza tena
watu wanataka kupita na LUHANSK DONEST MAURIPOL ODESSA nk
RUSSIA sio ZIMBABWE
Wampelekee Matingatinga, hata used, akakusanye vifusi, asafishe nchi!
Idiot of a comedian, wanakimbilia kutafuta kampuni zao kupata contract za Ku rebuild. Kusafisha mabaki ya silaha, na kumuuzia silaha!
look like
hakuna vita ya dunia kuna OP maalum tuuu
Kwa taarifa tu, NATO ndio wamemzuia kichaa Putin kuiteka Ukraine. Na hapo NATO iliwekeza kiduchu tu, Putin kachanganyikiwa hadi kaondoa majeshi. Je, wakisema wanaingia jumla, si ndani ya masaa mawili NATO inatinga Kremlin na Putin anakuwa mgeni wa lazima wa Kiduku!!!nato yakupuuzwa tu... wanajifanya wako bize kumtembelea huyo msanii kipindi hiki Russia ameishabomoa nchi yote na kusepa halafu wao ndo eti wanajifanya wanakuja kuwatia moyo wa Ukraine.. mi nitaona wa maana wakiweza kukaa msitari wa mbele kuikomboa donbass na krimea
Fake news hioMarekani angesema hivi Buza kwa Mtogole wangeita ni ubaguzi wa rangi.
Wakiona hivi kwa Putin ni kukenua tu.
Fake news hio
Umeandika kwa lugha gani hapo mjomba?
Hivi nyie mbwa mnaokesha kuongelea haki mnaijua haki.??Hatushabikii vita ila tunasimama na haki. Hii ndiyo tofauti yetu sisi kwa Mtogole.
Hakuna asiyejua Crimea kama Donbas na Lohansk hivi sasa zinakaliwa na Urusi kama ilivyokuwa Kagera na Amini.
Kupanua mipaka ya nchi kijeshi ni kinyume na sheria za kimataifa.
Vita ndiyo kwanza kungali asubuhi.
Hivi nyie mbwa mnaokesha kuongelea haki mnaijua haki.??
Iraq, Libya, Palestina, etc hamkuona hao mnawashabikia walichofanya huko.? MiTanzania ni mbwa sana..
Hakuna mahali Putin aliongea hivyo, ndo maana nikasema fake news.Jumbe Brown kuna wito wako huku.
Hata hivyo ndugu mjumbe, kwamba kipi si kweli?
1. Njaa Kenya?
2. Unguli wa diplomasia wa Russia?
3. Kenya ni small boy?
4. U mbuyu wa Russia?
5. Kujishika makalio kwa small boy?
Ukweli unajulikana kwa uchungu wake lakini.
Hukuwahi kusikia mwenye macho haambiwi tazama?Hakuna mahali Putin aliongea hivyo, ndo maana nikasema fake news.