- Thread starter
- #41
Hilo ni baadaye sasa hivi lengo ni kuhakikisha vita inakuwa localized Ukraine na Russia anafurushwa kote Ukraine hadi Crimea.UKRAINE ajiunge na NATO
Maana kaishashinda hii VITA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ni baadaye sasa hivi lengo ni kuhakikisha vita inakuwa localized Ukraine na Russia anafurushwa kote Ukraine hadi Crimea.UKRAINE ajiunge na NATO
Maana kaishashinda hii VITA
Wiki 3 zijazo Ukraine atakuwa na vifaa hatari mno... naona viongozi wa dunia wameanza kuwasili Kyiv; that means the airspace is fully under control. Dhalimu amefurushwa; atapata tabu sana mbweha yule!
CRIMEA ile ni RUSSIAHilo ni baadaye sasa hivi lengo ni kuhakikisha vita inakuwa localized Ukraine na Russia anafurushwa kote Ukraine hadi Crimea.
unahisi kwanini wasingempa week moja baada ya kuvamiwaWiki 3 zijazo Ukraine atakuwa na vifaa hatari mno
CRIMEA ile ni RUSSIA
kama unawaza kwamba eti CRIMEA itarejea UKRAINE waza tena
watu wanataka kupita na LUHANSK DONEST MAURIPOL ODESSA nk
RUSSIA sio ZIMBABWE
Ni kweli...UDHALIMU ni wa kukemewa....Imani zote za ujamaa ulizo zitaja Putin kazivunja.
Udhwalimu ni uporaji wa haki za wengine. Putin kawavamia Ukraine na kuwakalia kwa sababu zisizokubalika.
Hana tofauti na Amini, Kagera, Bush, Afghanistan au Israel, Gaza.
Udhwalimu wowote ni uovu wa kukemewa bila kujali anayekemewa ni mbuyu au mchicha.
Udhwalimu wowote si wa kuvumiliwa.
Ewe mkazi wa Kwa Mtogole Kwa Manjunju Uji Wa Mwana nisikilize kidogo miye kijana mnywa GAHWA maarufu hapa kwa bi Nyau......Hatushabikii vita ila tunasimama na haki. Hii ndiyo tofauti yetu sisi kwa Mtogole.
Hakuna asiyejua Crimea kama Donbas na Lohansk hivi sasa zinakaliwa na Urusi kama ilivyokuwa Kagera na Amini.
Kupanua mipaka ya nchi kijeshi ni kinyume na sheria za kimataifa.
Vita ndiyo kwanza kungali asubuhi.
Ni kweli...UDHALIMU ni wa kukemewa....
Ila......
Unawezaje kuuzuia UDHALIMU bila kufuata njia ambazo hazitoonekana ni za wema ?!!!!
Ikiwa MADHALIMU wa magharibi hawataki DEMOKRASIA ya kweli.....wameitimbanga iitwayo DEMOKRASIA na kufikia kubaki katika makabrasha ya rejea za waasisi wake kule UGIRIKI.......je wa kulaumiwa ni nani?!! Putin ?!!!!
Tuanze nyuma kidogo.... WHITE SUPREMACISM imeibaka DEMOKRASIA na kusimama kuwa ADUI wa wanyonge WASIOTAKA kutawaliwa.....WHITE SUPREMACISM imeigawa dunia pande 4......pande 3 zote zinatafsiriwa kuwa ZINAKALIWA NA WANADAMU NUSU....isipokuwa upande wa MAGHARIBI TU.....
Magharibi kumejaa watu wenye macho ya BULUU NA KIJANI.....
Putin naye ana macho kama yao.....ila tu bahati mbaya yake yuko UPANDE ULE WA LAANA(MASHARIKI)......
Wanamuona Putin adui mkubwa kwao kwani ni "ARYAN"mwenzao....
Saddam hakuwa Aryan.....
Gaddafi hakuwa Aryan....
Chavez hakuwa Aryan.....
Mao Tse Tung si Aryan......
La kufurahisha ni moja tu....kiupekee EL COMANDANTE VLADIMIR PUTIN anawapinga ARYAN wenzake na ndio maana anasema ADUI WAO NI "NEO NAZISTS"............
Hitler unamkumbuka vyema tu ...japo wamagharibi walimpinga na wanaendelea kumpinga HADHARANI ....ila si SIRINI.....
Hau eee THESIS + ANTI-THESIS=SYNTHESIS.........
Karibu CHUPA la kahawa hapa nikisubiria kula DAKU alias SUHOOR........
#Hasta La Victoria El Comandante Julius Kambarage Nyerere ,Siempreeeee🙏
hii sio vita ni OP maalum tuuHatushabikii vita ila tunasimama na haki. Hii ndiyo tofauti yetu sisi kwa Mtogole.
Hakuna asiyejua Crimea kama Donbas na Lohansk hivi sasa zinakaliwa na Urusi kama ilivyokuwa Kagera na Amini.
Kupanua mipaka ya nchi kijeshi ni kinyume na sheria za kimataifa.
Vita ndiyo kwanza kungali asubuhi.
kumuondoa RUSSIA huko UN sidhanii kama linawezekanaUmeandika mambo ya kufikirika.
Hakuna anayependa udhwalimu. Mtoto mdogo anaujua na kuuchukia udhwalimu.
Iko hivi Russia alipo hakuna mmoja anamwunga mkono wa dhati yake. Na akikaa hovyo atatimuliwa pia UN.
Neo Nazi? Unajua ma Nazi maadui zao wakuu walikuwa mayahudi? Hayupo Nazi mmoja mwenye uyahudi.
Kumbuka Zelensky ana asili ya mayahudi. U nazi wake anaopambana nao Putin uko wapi?
Sana sana wanaomwunga mkono Putin ni wale wenye madhwalimu yao:
North Korea, Eritrea, Iran, Afghanistan bila kuwasahau wale warusi mashuhuri wa kwetu Buza pichani wanawakilisha:
View attachment 2182116
Ewe mkazi wa Kwa Mtogole Kwa Manjunju Uji Wa Mwana nisikilize kidogo miye kijana mnywa GAHWA maarufu hapa kwa bi Nyau......
Hau ee ,ni kwamba UNAJISAHAULISHA ama hujui kuwa USSR ilivunjwa makusudi ili ZIPATIKANE NCHI ZITAKAZOKUWA KINYUME NA ITIKADI YA KISOVIETI ya URUSI YA SASA ?!!!!
Mtu gani makini asiyejua kuwa UKRAINE ilikuwa ni miongoni mwa nchi zilizokuwa ndani ya USSR ?!!!!
hii sio vita ni OP maalum tuu
RUSSIA haiwezi kuingia VITANI na UKRAINE
hao wengine walojificha nasema hawapo nandio maana wanajifichaKwani Russia anakabiliana pale na Ukraine peke yake?
kumuondoa RUSSIA huko UN sidhanii kama linawezekana
ila ikatokea likawezekana haitakua ndio dawa kwa UKRAINE
UKRAINE anashinda kuweni wapole
hakuna vita ya 3Hapa si suala la kudhani mkuu, labda kama wewe ni Kerubi? Wameanza na Human Rights Council. Tayari Russia out.
Kura zote zilizopigwa UN kwenye kadhia hii zimekuwa dhidi ya Russia.
Akikaa hovyo anafurushwa UN.
Kumbuka hivi ni vita vikuu vya III vya dunia vikipiganiwa ndani Ukraine:
View attachment 2182127
Wampelekee Matingatinga, hata used, akakusanye vifusi, asafishe nchi!wasisahau kupeleka mitambo ya kukusanya vifusi.
hao wengine walojificha nasema hawapo nandio maana wanajificha
kama wanaweza watangaze kuingia mzigoni rasmi
RUSSIA anafanya ka OP kadogo tu kwahuyo bwana mdogo
🤣🤣🤣Umeandika mambo ya kufikirika.
Hakuna anayependa udhwalimu. Mtoto mdogo anaujua na kuuchukia udhwalimu.
Iko hivi Russia alipo hakuna mmoja anamwunga mkono wa dhati yake. Na akikaa hovyo atatimuliwa pia UN.
Neo Nazi? Unajua ma Nazi maadui zao wakuu walikuwa mayahudi? Hayupo Nazi mmoja mwenye uyahudi.
Kumbuka Zelensky ana asili ya mayahudi. U nazi wake anaopambana nao Putin uko wapi?
Sana sana wanaomwunga mkono Putin ni wale wenye madhwalimu yao:
North Korea, Eritrea, Iran, Afghanistan bila kuwasahau wale warusi mashuhuri wa kwetu Buza pichani wanawakilisha:
View attachment 2182116
Bambushka dada mwenye FIKRA PANA maa shaa Allah 💪Wampelekee Matingatinga, hata used, akakusanye vifusi, asafishe nchi!
Idiot of a comedian, wanakimbilia kutafuta kampuni zao kupata contract za Ku rebuild. Kusafisha mabaki ya silaha, na kumuuzia silaha!
🤣🤣😍Wampelekee Matingatinga, hata used, akakusanye vifusi, asafishe nchi!
Idiot of a comedian, wanakimbilia kutafuta kampuni zao kupata contract za Ku rebuild. Kusafisha mabaki ya silaha, na kumuuzia silaha!