Ukraine kama Nyumbani kunazidi kunoga

Ukraine kama Nyumbani kunazidi kunoga

Unaropoka tu brother mabeberu hayaendeshwi na hisia kama Sisi. Kwa akili yako hata ya kuendea chooni unafikili ukraine peke yake angeweza kumudu uvamizi wa Russia. Behind the scene mabeberu yalikuwa front ku monitor logistics zote za kuyazuia majeshi ya urusi yasisonge mbele. St jevelin zimetoka wapi, stingers na kamikaze drone zimetoka wapi. Pia jifunze maana ya vita in its fullest sense, propaganda, vikwazo, espionage na consipiracy kwa pamoja ni mbinu za kumshinda adui. Mabeberu yako rational sana hata uyachukie huyawezi maana kwenye mbinu za medani yako juu.
nato yakupuuzwa tu... wanajifanya wako bize kumtembelea huyo msanii kipindi hiki Russia ameishabomoa nchi yote na kusepa halafu wao ndo eti wanajifanya wanakuja kuwatia moyo wa Ukraine.. mi nitaona wa maana wakiweza kukaa msitari wa mbele kuikomboa donbass na krimea
 
Naona Putin alikuwa na malengo ya kubomoa majengo hovyo hovyo na kusepa! Sijui majengo ndo yanajiunga NATO!

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kubomoa majengo ni mbinu iliyotumika vita ya pili ya dunia, majeshi yanaweza kuchoma mashamba ili mfe njaa, kuharibu miundombinu ya viwanja vya ndege ili kukata supply. Ila kwenye modern warfare vinatumika sana vikwazo ilii kuumiza uchumi wa mwanzilishi wa vita. Russia waliaamua kutumia mizinga kupigaajengo ili kuokoa vikosi vyake ambavo vilikuwa vimezingirwa, baadhi ya analysist wanadai makombora mengine yalikuwa yanawatwanga wao wenyewe. Pia mbinu hii ya execution huwa inalengo la kuvunja morale ya askari walio mstari wa mbele washindwe kusonga mbele
 
Mrusi hakuwa na namna zaidi ya kutumia ndege na kuvurumusha makombora kutokea mbali.

Ardhini wa Ukraine walishajitolea kufa naye.

Makombora na ndege ni lazima majengo kuathirika.

Kwamba sasa hadi wazito wa hivi wanakuja Kyiv, kumbe hata udhibiti wa anga la Ukraine nao hana.
 
nato yakupuuzwa tu... wanajifanya wako bize kumtembelea huyo msanii kipindi hiki Russia ameishabomoa nchi yote na kusepa halafu wao ndo eti wanajifanya wanakuja kuwatia moyo wa Ukraine.. mi nitaona wa maana wakiweza kukaa msitari wa mbele kuikomboa donbass na krimea
Ukraine kaingizwa Cha kike
FOj6Qf1VgAE1wB3.jpg
 
Kwa nini wengi katika CCM na wasiotaka katiba mpya wanashabikia sanaudhwalimu wa Putin? Mwongozo tafadhali.
Ikiwa Putin ni DHWALIMU hebu niongoze nami nisiwajue na nisiwataje MADHWALIMU wengine wa nchi za magharibi......

Kiufupi kabisa ,CCM ni chama cha kijamaa....nami ni mjamaa NILIYEIVISHWA VYEMA ITIKADI HIYO.....

Mosi Ujamaa ni IMANI...kwangu ni IMANI...kama zilivyo IMANI nyingine bora zinavyoandamwa na UADUI basi UJAMAA nao UKO MSAMBWENI........

IMANI YA KWANZA......

Binadamu wote ni sawa

IMANI YA PILI....

Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake.

IMANI YA TATU....

Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia sahihi ya kujenga jamii iliyo sawa na huru.

SIEMPRE JMT🙏
HASTA LA VICTORIA EL COMANDANTE JULIUS KAMBARAGE NYERERE🙏🙏🙏🙏
 
Kwa maneno yake Putin alisema "HAWATASIMAMISHA MASHAMBULIZI MPAKA PALE MALENGO YAO YATAKAPOTIMIA".....

El Comandante Putin ni mjanja sana....tunakumbuka alivyouhadaa ULIMWENGU kwa kuviondoa VIKOSI 150,000 alivyoviweka mwezi mzima mipakani na kuvirudisha nchini kwake halafu akavirudisha IN FULL FORCE na kuanza mashambulizi kule DONBASS ,KYIV , MARIUPOL ,ODESSA na kwengineko.......

HAKIKA PUTIN NI MASTER 🤣

Kwamba huku ni kuuhadaa Ulimwengu na kwamba ni sifa?

Huku ni kutoaminika mjomba. Ndiyo maana kesha fukuzwa kwenye Council ya Human Rights ya UN na mchakato wa kumfurusha kabisa UN uko mezani unafanyiwa kazi.

😂😂!

Kutoaminika ndiko kunakoitwa "mtu mzima hovyo" makwetu Buza.
 
Ikiwa Putin ni DHWALIMU hebu niongoze nami nisiwajue na nisiwataje MADHWALIMU wengine wa nchi za magharibi......

Kiufupi kabisa ,CCM ni chama cha kijamaa....nami ni mjamaa NILIYEIVISHWA VYEMA ITIKADI HIYO.....

Mosi Ujamaa ni IMANI...kwangu ni IMANI...kama zilivyo IMANI nyingine bora zinavyoandamwa na UADUI basi UJAMAA nao UKO MSAMBWENI........

IMANI YA KWANZA......

Binadamu wote ni sawa

IMANI YA PILI....

Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake.

IMANI YA TATU....

Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia sahihi ya kujenga jamii iliyo sawa na huru.

SIEMPRE JMT🙏
HASTA LA VICTORIA EL COMANDANTE JULIUS KAMBARAGE NYERERE🙏🙏🙏🙏

Imani zote za ujamaa ulizo zitaja Putin kazivunja.

Udhwalimu ni uporaji wa haki za wengine. Putin kawavamia Ukraine na kuwakalia kwa sababu zisizokubalika.

Hana tofauti na Amini, Kagera, Bush, Afghanistan au Israel, Gaza.

Udhwalimu wowote ni uovu wa kukemewa bila kujali anayekemewa ni mbuyu au mchicha.

Udhwalimu wowote si wa kuvumiliwa.
 
Back
Top Bottom