Ukraine kama Nyumbani kunazidi kunoga

Ukraine kama Nyumbani kunazidi kunoga

hakuna vita ya 3
labda huko UKRAINE ndio wanaona hvyo ila kule RUSSIA hio ni OP maalum kama yakuja kukamata wavuta unga mitaani
kwa RUSSIA hapo UKRAINE hakuna vita

Kwa Mtogole pande zipi hiyo mkuu?

IMG_20220408_095229_824.jpg

Vita vya dunia huko wanatwambia wao. Buza nawe una yako.

Tuwaamini wao au wewe Mrusi wa Buza?
 
Kwani unadhani wamejificha au hawapo? Mrusi alikuwa 20km kutoka down town Kyiv. Vipi angali yuko pale?

Mrusi amejiridhisha hasara kubwa ya watu na vifaa. Unadhani ni musuli wa Ukraine peke yake huo?

Labda kama unasema kumbe hata sisi tunaweza tu tukamdindia?!
kumekua na makubaliano maalum yalomfanya RUSSIA kuondoka KIEV wala sio jengine
makubaliano yakipindishwa wanarejea tena KIEV mapema sanaaa.
 
Kwa hiyo Ukraine ni Russia? Kumbe mengine haya ni chokochoko za Putin tu?

Sasa kama Ukraine ni Russia mbona amekimbia mbio tokea kote alikokuwa Ukraine na anajaribu sasa kujiimarisha kwenye mawimbi hayo matatu peke yake?

Vipi u neo nazi umekwisha sasa? Vipi military operation to neutralize the Ukrainian army? Au mission aborted?

Mengine haya labda Lumumba mtawadanganya. Huku kweli na hoja hizi za cold war era, leo?
🤣🤣🤣Ukraine si Russia kwa sasa....

Uliyasoma madai ya hayati Harsting Kamuzu Banda kuwa NYASALAND mpaka wake uko Iringa?!!!

Ilipita miaka mingi ila bado wanaamini hivyo mpaka kufikia Rais mama Banda kuja kukumbusha kuwa ZIWA NYASA(kwao Ziwa Malawi) lote ni lao?!!!

Itakuwa kwa USSR ambayo kabla ya kuvunjwa kihila UKRAINE ilikuwa ni eneo lake....huoni yanayotokea kule DONBASS?!!!

Huoni ANNEXATION ya Crimea post 2014 Invasion?!!!

Well huko ni mbali na hukutaki.....

Ni kwanini UKRAINE inaamua KUYASALITI makubaliano kuwa ISIJIINGIZE NATO?!!!

Ama kwa kuwa makubaliano hayo yalikuwa ya MIDOMONI na si MAKABRASHANI ?!!!!

Kwako wewe NATO si kitisho kwa IMANI NA USTAWI WA URUSI ?!!!
 
🤣🤣🤣

Ni kweli NAZI maadui wao wakuu walikuwa ni mayahudi.....

Unajua ni kwanini ?!!!

Mayahudi waasili si ARYAN(pure blood...white supremacists).....

Mayahudi walikuwa ni WANYONGE waliokimbilia uhamishoni....walikimbilia UKRAINE ,POLAND ,URUSI ,UJERUMANI ,HUNGARY ,BULGARIA ,UHISPANIA na kufika mpaka nchi za MAGHARIBI...yote ni kujiokoa na UDHALIMU waliofanyiwa na WARUMI.......

Zelensky ni kizazi cha mbali sana cha wayahudi hao........la ajabu hushangai anawezaje KUUNGANA MKONO na nchi za MAGHARIBI zenye CHUKI(WHITE SUPREMACISM) dhidi ya mababu zake....hapa unajifunza kitu kuwa "HE IS ALREADY INTERGRATED"...

Unamkumbuka "UNCLE TOM" yule wa filamu ya KINTA KINTE ?!!!!

Uncle Tom yule mweusi mwenzetu ambaye kwa UNYAPARA aliopewa na "slave masters" alijitapa katika MEZA YA BWANA ZAKE WEUPE kuwa YEYE SI MTU MWEUSI kwa kuwa tu mtu mweusi kamwe ASINGEWEZA KUALIKWA KATIKA HAFLA NA STAFTAHI YA MABWANA WEUPE huku akipigiwa VINUBI na watumwa weusi🤣🤣

Uncle Tom akafika mbali na kusema MTUMWA MWEUSI hawezi akavaa SUTI wanazovaa MABWANA WEUPE....ZELENSKY HAS SOLD OUT........

Cutting a long story short ,kuna kitu nimejifunza kwako....WEWE UMUUMINI mzuri sana wa DEMOKRASIA ILIYO PURE....kudos kwa hilo 👏👏👏

Unfortunately it does not exist anymore.....secretely it has been used as a weapon to TERRORISE others(SUB-HUMANS) and spreading NEO COLONIALISM.......

Sorry to say I stand with El Comandante Vladimir Putin though he is a human being with lots of mistakes....

Good you that have noted, miye ni muumini wa haki. Adui wa madhwalimu bila kujali walipo.

Sifurahii yaliyomkuta Ndugai na kuwa sijui alipo, hofu yangu kwake ni kama ilivyo kwa Ben, Azory, Lijenje na wote waliopotezwa.

Chuki yangu kwa madhwalimu ni ile ile kwa waliopanga kumdhuru Lissu.

Kwangu mimi Polepole, Mwingira, Ndugai, Mpina, Shabiby, Mbowe, nk wana hoja na sahihi kuwanyamazisha kikuku.

Kwenye kadhia hii ninasimama na Ukraine. Ukraine kama ilivyokuwa na Iddi Amini wamevamiwa na nchi yao kukaliwa kwa mabavu.

Katika ustaarabu wa kawaida hii haikubaliki.
 
Duuuh unawataja akina Polepole na Ndugai tena ?!!! 😳😳🤣🤣

Sijui yaliyowakuta.....

Ila unaumiaje kuiona adhabu inayotimizwa na WANAFAMILIA kwa mwanafamilia mwenzao ?????!!!

Sorry usinifikirie vibaya....nilianza kubainisha kuwa UJAMAA ni imani....na hata katika DINI za Mwenyezi Mungu Kuna(KULIKUWA) na adhabu dhidi ya BLASPHEMY kwa wanadini/waamini......

#Siempre JMT🙏
 
Wewe kutojua yaliyowakuta hakumaanishi hayupo ajuaye.

Wote waliopotea akiwamo Job Yustino Ndugai wanafahamika walionekana na nani siku ya mwisho.

Kama binadamu udhwalimu ni udhwalimu tu uwe Libya, Dodoma, Kagera, Gaza au Ukraine.

Udhwalimu hauvumiliki labda kama unasema mama ana ruksa ya hata kumwua mwanaye.
 
😳😳🤣
 
Nakuona ANCHOR wa CNN ,FOX NEWS ,MSNBC ,SKY NEWS ,24 FRANCE INTERNATIONAL unavyotamba tu🤣🤣🤣🤣

Unaweza kutuwekea na VIFARU vya Ukraine vilivyoteketezwa?!!!

Kwani TV yetu...RT...ndio hivyo tena "WHITE SUPREMACISTS" wameipiga pini DSTV na hata YOUTUBE 🤣🤣🤣

Vya Ukraine vya nini kwani aliyekuwa 20km kutokea down town Kyiv kwani sasa hivi kasimama wapi vile?

Au ni kuwa makubaliano ya yeye kuondoka, ni vifaru vyake ni kushika moto kwanza?
 
Vya Ukraine vya nini kwani aliyekuwa 20km kutokea down town Kyiv sasa. Kwani hivi kasimama wapi vile?

Au ni kuwa makubaliano ya yeye kuondoka ni vifaru vyake ni kushika moto kwanza?
Twende taratibu Hau🤣🤣

Kwanza Ukraine si taifa dhaifu KIUCHUMI NA KISILAHA....

Zelensky alijua iko siku mwamba Putin atamuingilia KYIV....

Akajiandaa vyema....maandalizi yakihusisha na kuunganisha TUNNELS zenye kila kitu kutoka kila jumba moja kuelekea jingine DOWNTOWN Kyiv......

Kwa hiyo jamaa wanapigana sana GORILLA FIGHT.....na hii si rahisi hata kidogo....ni hatari sana kwa INFANTRY wa URUSI.....

Gorilla Fight ilitumiwa sana na TALIBAN dhidi ya Urusi na hata dhidi ya marafiki zako AMERICA.....

Simlaumu Putin bali kuyaondosha majeshi amejifunza kitu na anakwenda KUJIPANGA UPYA.....

Unaweza kutuwekea na zile athari za majengo yaliyoshukiwa na SUPERSONIC MISSILES za kamarada Putin ?!!! 🤣

Je naongopa kuwa ZELENSKY amekubali kuwa UKRAINE haitojiunga NATO ?!!!

Je huu si USHINDI kwa Comandante Putin?!!!
 
Kupitia vita hii ya Ukraine tutawajuwa wale wote ambao huwa wanahubiri haki huwa wanamaanisha?

Tunamsubiri Yericko naye siku aje kulalamikia Polisi brutality tutamkumbusha.

Nyerere alikuwa ni mkatoliki safi lakini maisha yake yote alisimama na Wapalestina.
 
Back
Top Bottom