Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Waingie wanangojea nnKwa taarifa tu, NATO ndio wamemzuia kichaa Putin kuiteka Ukraine. Na hapo NATO iliwekeza kiduchu tu, Putin kachanganyikiwa hadi kaondoa majeshi. Je, wakisema wanaingia jumla, si ndani ya masaa mawili NATO inatinga Kremlin na Putin anakuwa mgeni wa lazima wa Kiduku!!!
Unamaanisha kwamba Putini ameshindwa ata kurusha jiwe wakati kina Boris Johnson na wenzake wa ulaya wakiwa hapo Ukraine kwenye majengo ya kifahari na mikutano yao?Hali ya usalama Ukraine inazidi kuimarika.
Ilikuwa mkuu wa umoja wa Ulaya kutembelea Kyiv, Ukraine na sasa Boris Johnson naye katia timu huko:
View attachment 2181955
Nani angethubutu kuweka mguu Kyiv kama kitisho cha Putin kingekuwa kile cha mwezi uliopita?
Wamefika wazito hawa Kyiv vipi hamna silaha zinazopelekwa huko?
Dhahiri hii ni NATO ana kwa ana na Urusi ndani Ukraine. Ni wazi kuwa Ukraine peke yake hana ubavu huu.
Kazi kwao akina nyasi tokea Ukraine hadi makwetu Buza kwa Mtogole.
ni kama umezama mawazoni mwangu......nato yakupuuzwa tu... wanajifanya wako bize kumtembelea huyo msanii kipindi hiki Russia ameishabomoa nchi yote na kusepa halafu wao ndo eti wanajifanya wanakuja kuwatia moyo wa Ukraine.. mi nitaona wa maana wakiweza kukaa msitari wa mbele kuikomboa donbass na krimea
kumbe bado hujavijua vizuri vyombo vya habari vya magharibi boss????[emoji3]Malengo yapi yaliyotimia?View attachment 2181972View attachment 2181973
Hao wanene wanakwenda Ukraine kwa sababu anga ya Ukraine inadhibitiwa na NATO kwa sasa.nato yakupuuzwa tu... wanajifanya wako bize kumtembelea huyo msanii kipindi hiki Russia ameishabomoa nchi yote na kusepa halafu wao ndo eti wanajifanya wanakuja kuwatia moyo wa Ukraine.. mi nitaona wa maana wakiweza kukaa msitari wa mbele kuikomboa donbass na krimea
nimepitia comment zako tangu kule mwanzo nimegundua kijana hata hujui hyo vita chanzo chake halisi cha ndani kabisa ni nin??Hatushabikii vita ila tunasimama na haki. Hii ndiyo tofauti yetu sisi kwa Mtogole.
Hakuna asiyejua Crimea kama Donbas na Lohansk hivi sasa zinakaliwa na Urusi kama ilivyokuwa Kagera na Amini.
Kupanua mipaka ya nchi kijeshi ni kinyume na sheria za kimataifa.
Vita ndiyo kwanza kungali asubuhi.
ni kama umezama mawazoni mwangu......
nimepitia comment zako tangu kule mwanzo nimegundua kijana hata hujui hyo vita chanzo chake halisi cha ndani kabisa ni nin??
yani wew Unadhani putin mwenye ardhi kubwa mfanano wa bara zima ndo aamue kupoteza siraha zake, majeshi yake na kuirisk credibility ya nchi yake sababu kuu ni kuchukua hivo vijimbo viwili???
hebu fatilia vzuri chanzo cha ndani kabisa cha hyo vita upate kujifunza jambo!!!!!
Hali ya usalama Ukraine inazidi kuimarika.
Ilikuwa mkuu wa umoja wa Ulaya kutembelea Kyiv, Ukraine na sasa Boris Johnson naye katia timu huko:
View attachment 2181955
Nani angethubutu kuweka mguu Kyiv kama kitisho cha Putin kingekuwa kile cha mwezi uliopita?
Wamefika wazito hawa Kyiv vipi hamna silaha zinazopelekwa huko?
Dhahiri hii ni NATO ana kwa ana na Urusi ndani Ukraine. Ni wazi kuwa Ukraine peke yake hana ubavu huu.
Kazi kwao akina nyasi tokea Ukraine hadi makwetu Buza kwa Mtogole.
Anayekuja kukuona baada ya kuchezea kichapo inawezekana anakuja kuona ulivyochakazwa. Haimaanishi anakuonea huruma maana moto ulivyowashwa walisikilizia kwa mbaaaaali
Amri ya muuaji Putin haiwezi kuwa na nguvu baada ya kudhihirika jeshi lake ni mdebwedo😊Siyo tu, new realities zinaweza mfanya mtu hata kuachana kabisa na malengo yote ya mwanzo.
Sina hakika kama muda wa amri ya Putin ya kumtaka Zelensky kuachia madaraka ungali hauja expire tu. 😂😂
I think Putin wanted to shake Ukraine, he has found himself shaking his own buttocks and decided to remove the troops!
Moto wawashe halafu wakimbie.Ningemwona Putin mwanaume kweli kama asingerudi nyuma,alibakiza km chini ya 20 kuingia Kyiv halafu akakimbia,angeingia pale Kyiv ningekuelewa lakini nnje ya hapo ni porojo tu.Anayekuja kukuona baada ya kuchezea kichapo inawezekana anakuja kuona ulivyochakazwa. Haimaanishi anakuonea huruma maana moto ulivyowashwa walisikilizia kwa mbaaaaali
On the moneyI think Putin wanted to shake Ukraine, he has found himself shaking his own buttocks and decided to remove the troops!
Tena ni mdebwedo kweli kweliAmri ya muuaji Putin haiwezi kuwa na nguvu baada ya kudhihirika jeshi lake ni mdebwedo[emoji4]
Kakazwe mbwa wewe kila thread unaandika Udhwalimu mara Yumkini..
Nyie wazamiaji mnasumbua wenye nchi yetu
Tafsiri ya kushindwa vita ni "kushindwa kufikia malengo yako ya kijeshi" na kisha kuyaacha.
Kwa mantiki hiyo Urusi keshashindwa vita maana alilolitaka safari hii hakuna hata moja alilofanikiwa, na yeye uchumi wake unaendelea kupigwa vikwazo mpaka arudi kwenye stone age
Putin alivosema NATO wameparanganyikana alikua amefanyia kazi vizuri hilo Jambo au ndokutegwa kwenyewe