Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
wacha tuone,,,Njaa iko Kenya na somalia. Usijumuishe Tanzania kwenye mambo kama hayo nyie ombaomba f.c
Takwimu haina uhalisia,Tz chakula kingi kuanzia viazi,mihogo,mtama,ulezi,ufuta,maharagwe,mpunga mpk mahindi.acheni story zenu za vijiweni mtandaoni
Kwamba Tanzania ina njaa kuliko Kenya....mkuu acha vituko utwchekwa.
Kazi tunayo ila inashangaza inakuaje Nchi ya Ukraine ije kuweka Kitovu Cha nafaka Kenya wakati sisi Tanzania tupo tungeweza kuweka hicho Kitovu hapo Kunyaland?Ukraine kuanzisha kitovu cha nafaka katika bandari ya Mombasa ili kukabiliana na uhaba wa chakula Afrika Mashariki, asema Rais Ruto baada ya mazungumzo na Rais Zelensky.
Haya yametokea wakati Ruto akiwa kwenye ziara nchini Marekani, ambapo alimpongeza Rais Zelensky kwa kuendelea kupambana na Urusi na kumwambia kuwa waelewe kuwa Kenya inawaunga mkono, katika mazunguzo hayo Rais Zelensky alimkaribisha Rais Ruto kutembelea Kyive, Ukraine.
View attachment 2755701View attachment 2755703
Hapo kuna vitu viwili tofauti, kuna njaa na umasikini uliokithiriKwamba Tanzania ina njaa kuliko Kenya....mkuu acha vituko utwchekwa.
Mimi mwenyewe nimeshangaa wakati wa KE tulikuwa tukiwauzia mpaka mahindi...Kwamba Tanzania ina njaa kuliko Kenya....mkuu acha vituko utwchekwa.