Ukraine kupokea mifumo ya NASAMS Air Defense Systems kutoka Marekani

Nadhani mdau anazungumzia/anataka kujua kuhusu IRIS-T air defense systems na sio Gepard
Umechanganya kidogo mkuu. Iris-T ni air to air missile mbadala wa Sidewinder ambayo imezeeka. Kwanza Ujerumani sidhani kama wamemaliza hiyo project mpaka kuwa na excess missiles. Na kwa vile ni mpya, its unlikely inaweza tolewa hata ingekuwa Marekani. Na Ujerumani inaringa kiasi kwenye utoaji.

US ana Abrams model ya kwanza zaidi ya 100 ila nimesoma somewhere kwamba hawezi zitoa kwa kuwa sheria inazuia kufanya exportation ya armour plates za vile vifaru
 
My bad. Nimechanganya ni Iris-T SLM ambayo Ujerumani imesema itaipa Ukraine miezi miwili ijayo. Hii inadaka mpaka cruise missiles,nadhani ndo huyo mdau alitaka kuifahamu km nitakua sijakosea.
 
naona deni la ukraine kwa wamerekani linazidi kuongezeka. patamu hapo. hakuna cha bure katika mataifa ya kibepari.
Fedha ya Mrusi iliyozuiawa nje ndio itatumika kulipia gharama hizo, Na ukraine hata pata shida ktk ujenzi wa nchi yake kamwe, kwani karibu dunia nzima imeona kabisa kuwa ameonewa, hivyo misaada atapata sana!!!Na ndio maana hata raia wake waliokimbia vita nchi nyingi za ulaya zilikuwa zinawakimbilia kuwapa hifadhi.
 
Kwa jinsi hali inavyokwenda kuna kila dalili kwa Urusi pumzi kukata mapema. Njia pekee kwa sasa kwa Russia kuweza kushinda hii vita ni kufyatua Nyuklia tu, tofauti na hapo hata kule Crimea atakimbizwa mazima.
Hahaaaa!!na ndio maana mzee BIDEN, amemuonya ole wake ajaribu , kwani wameshamuona hati tete!!na ki ukweli hata kile kidogo alichokichukua mwaka 2014(crimea)kinaenda mponyoka sasa!!
 
naona deni la ukraine kwa wamerekani linazidi kuongezeka. patamu hapo. hakuna cha bure katika mataifa ya kibepari.
Usiwe mtoto mwenye Deni ni US aliyeomba ardhi ya Ukraine itumike kutambua uwezo wa PUT in
 
Haiwez tungua kila kitu, drone ya 20k ulipue na bomb la 500k
 
Mkuu ilikuwa yale madude ya Iran yalipita mpk kupiga kambi za USA pale Iraq kwenye mifumo yote ya ulinzi wa anga NASAMS?
 
Military budget ya marekan = 778bilion USD
Russia Military budget = 66bilion USD

US aid to Ukrain since February = 16Bilion USD

Mwenye kuelewa aelewe, mwenye kubisha abishe
 
Mkuu ilikuwa yale madude ya Iran yalipita mpk kupiga kambi za USA pale Iraq kwenye mifumo yote ya ulinzi wa anga NASAMS?
Walisema hawakuwa na mfumo wowote, baadae baada ya kupigwa walipeleka Patroit
 
Kama ni kweli basi mrusi atataka suluhu
 
Mkuu ilikuwa yale madude ya Iran yalipita mpk kupiga kambi za USA pale Iraq kwenye mifumo yote ya ulinzi wa anga NASAMS?
NASAMS hazipo Iraq walikopiga. Na hawakuwa kwenye hali ya hatari, sio kila radars zinawashwa 24/7 miaka yote. Utaingia maintenance cost kubwa na gharama kubwa za uendeshaji kama utafanya delicate systems kubwa operational muda wote
 
Walisema hawakuwa na mfumo wowote, baadae baada ya kupigwa walipeleka Patroit
Unafahamu kama ile kambi iliyoko IRAQ ndiyo kambi kubwa ya kijeshi kuliko zote pale Mashariki ya kati kwa USA? unamini kweli Base kubwa midle east yenye wanajeshi wote wa USA isiwe na Mfumo wa ulinzi wa anga?
 
NASAMS hazipo Iraq walikopiga. Na hawakuwa kwenye hali ya hatari, sio kila radars zinawashwa 24/7 miaka yote. Utaingia maintenance cost kubwa na gharama kubwa za uendeshaji kama utafanya delicate systems kubwa operational muda wote
Sasa kumbe pale Iraq walikuwa wanatumia mfumo gani wa ulinzi wa anga ao USA? yani awape Ukraine Ulinzi wa anga ila wanajeshi wake pale Iraq asiwe ulinzi huku anajua fika kuwa pale adui zake na vitisho tosha anavyopata toka Iran!
 
sawa team rainbow wa yombo dovya. tumekusikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…