T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Umechanganya kidogo mkuu. Iris-T ni air to air missile mbadala wa Sidewinder ambayo imezeeka. Kwanza Ujerumani sidhani kama wamemaliza hiyo project mpaka kuwa na excess missiles. Na kwa vile ni mpya, its unlikely inaweza tolewa hata ingekuwa Marekani. Na Ujerumani inaringa kiasi kwenye utoaji.Nadhani mdau anazungumzia/anataka kujua kuhusu IRIS-T air defense systems na sio Gepard
US ana Abrams model ya kwanza zaidi ya 100 ila nimesoma somewhere kwamba hawezi zitoa kwa kuwa sheria inazuia kufanya exportation ya armour plates za vile vifaru