Halafu mbona Egypt ilijuunga na brics halafu jina likaendelea kuwa brics tulitegemea litabadilikaUnazijua vizuri geopolitics zinazo husu Russia na washirika wake na upande mwingine hasimu wake?
Egypt na China ni washirika wazuri wa Russia.
In fact wote wapo kwenye BRICS. Egypt ni miongoni mwa wanachama wapya wa BRICS waliojiunga mkutano wa mwisho wa mwaka huu.
Ulitegemea Russia azuie chakula kisiende kwa washirika wake?
Hawamzunguki,Kwa hivyo marafiki zake wanamzunguka kufanya biashara na adui yake?.
HujitambuiEti huyu ndo alitaka msumbua USA
kwann asiiteke ukrain3me yote km alivyodai hapo awaliNyie kweli hamna akili au hamsikii kuwa kila siku urusi anashambulia bandari za Ukraine?
sio serikal ya urusi ni makampun ya urusi je ayazuie yafe njaa ?Hawamzunguki,
Chakula muhimu kwake na kwa washirika wake.
Kwanini hukushangaa alipoendelea kumuuzia Ukraine mafuta yanayotumika kwenye vita dhidi yao?
Kwanini aliendelea kufanya nae biashara ya gesi Hadi miundombinu ilipo lipuliwa?
Kwanini aliendelea na anaendelea kuwauzia Marekani madini Titanium yanayo tumika kwenye ndege na vifaa vingine vya viwandani na usafiri?
Think big, mwisho wa siku kuna mambo mengine fumbo kubwa kwa watu wenye kufikiria karibu au sasa na siyo mbali au kesho.
Lengo la awali la Urusi halikuwa kushambulia bandari bali ilikuwa kuitawala serikali ya Kyv na kumuondoa Raisi zennesky madarakani.Baada ya kubuma ndio ameanza vitimbi vya kushambulia hovyo mpaka raia🤔Nyie kweli hamna akili au hamsikii kuwa kila siku urusi anashambulia bandari za Ukraine?
Either way, the government of Russia is making money.sio serikal ya urusi ni makampun ya urusi je ayazuie yafe njaa ?