Paphilius
Member
- Aug 27, 2023
- 61
- 59
Halafu mbona Egypt ilijuunga na brics halafu jina likaendelea kuwa brics tulitegemea litabadilikaUnazijua vizuri geopolitics zinazo husu Russia na washirika wake na upande mwingine hasimu wake?
Egypt na China ni washirika wazuri wa Russia.
In fact wote wapo kwenye BRICS. Egypt ni miongoni mwa wanachama wapya wa BRICS waliojiunga mkutano wa mwisho wa mwaka huu.
Ulitegemea Russia azuie chakula kisiende kwa washirika wake?