Ukraine: Licha ya vita kuendelea, Meya wa Kiev amwalika Papa Francis

John Haramba

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2022
Posts
365
Reaction score
1,374
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amealikwa mjini Kiev wakati jiji hilo likiwa katika hatua ya kukaribiwa na hali nyingine ya mashambulizi ya Urusi.

Ofisi ya Papa ya mjini Vatican imethithitbitisha kupokea barua hiyo iliyoandikwa Machi 8, kutoka kwa Meya wa Kiev Vitali Klitschko, ikiomba Papa alitembelee jiji hilo au ahudhurie mkutano kwa njia ya video na wakazi wa jiji hilo lililozingirwa.

Maneno yaliyoandikwa katika barua hiyo yanasema ni muhimu kuokoa maisha ya watu na kuweka wazi njia ya amani kwa maisha yao.

Vatican haijasema lolote kufuatia barua hiyo lakini kwa mara kadhaa Papa Francis amekuwa akirejea wito wa amani tangu Urusi iivamie Ukraine.

Source: DW
 
Mawaziri wakuu wa Poland, Czech nafikiri na Slovakia wameenda jijini Kyiv kuonana na Zelenskyy na hakuna hatari yoyote iliyowapata.

Russia wamedhibitiwa hawawezi kuingia mjini wakithubutu tu kitakachowapata, itabidi Putin ajiuzulu. Waarabu waliokuwa wanawasubiri naona wamegwaya.
 
Nauliza Imeloa?
 
Aende akafe na Waukraine itakuwa ni zabiu nzuri ya kwaresma....
 
Papa ajitafakari asiende uwanja wa vita, marekani wanataka kumchafua mrusi zaidi ili waseme mnaona mrusi kaua Papa wenu
Vatican huenda ndio wenye itelejensia kali zaidi pengine kuliko nchi yoyote ile, usione Mapadri wamejichimbia huko uswekeni duniani kote ukajua wanahubiri injili tu.

Serikali nyingi duniani zimeundwa kupitia mfumo wa kanisa Katoliki..
 
Very correct but it gona need deep IQ to know that
 
Papa siyo mtu ni cheo, kwahivyo kila anayeshika hicho cheo ni shetani? Wapuuzi ni wengi sana
 
Mawaziri wakuu wa Poland, Czech nafikiri na Slovakia wameenda jijini Kyiv kuonana na Zelenskyy na hakuna hatari yoyote iliyowapata.

Russia wamedhibitiwa hawawezi kuingia mjini wakithubutu tu kitakachowapata, itabidi Putin ajiuzulu. Waarabu waliokuwa wanawasubiri naona wamegwaya.
[emoji23][emoji23][emoji23] hata ulichokiandika hukijui maskini
ila pole sio kosa lako
 
Source please? Usiokote kila information huko kwenye internet and assume is true,it must come from reliable and reputable source, War against Catholic Church haijaanza leo. Hayo madhehebu mengine yanatumiwa na shetani kuwa derail waumini kutoka kwenye kanisa la kweli la kristu. Wanaaminishwa ujinga na kuacha mambo ya msingi. Utakuja kujua haujui
Wewe unategemea vatican ndo waje wakwambie uozo wa viongozi wao? Kuanza tu chukua majina ya hao mapapa katafute historia zao sehem tofauti.....hadi hizo source zako unazozitaka wakupe biography ya hao wote......
.hao wenyewe waliowaletea hayo makanisa huko kwao wanayakimbia ....yanabaki magofu tu .....waumini wakueleweka waliobaki ni wazee tu.......watu wameshtukia utapeli wao, nguvu kubwa waliyonayo kama kanisa ni huku africa na huko america kusini ambao wote ukiwacheki ni pangu pakavu tia mchuzi...
...
Screenshot_20220317-064823_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20220317-065151_Samsung Internet.jpg
 
Wewe unategemea vatican ndo waje wakwambie uozo wa viongozi wao? Kuanza tu chukua majina ya hao mapapa katafute historia zao sehem tofauti.....hadi hizo source zako unazozitaka wakupe biography ya hao wote......
.hao wenyewe waliowaletea hayo makanisa huko kwao wanayakimbia ....yanabaki magofu tu .....waumini wakueleweka waliobaki ni wazee tu.......watu wameshtukia utapeli wao, nguvu kubwa waliyonayo kama kanisa ni huku africa na huko america kusini ambao wote ukiwacheki ni pangu pakavu tia mchuzi...
...
acha hadithi zako za vijiweni
 
Pontiff's ni viongozi wakuu wa kanisa katoliki duniani, hivyo wanasimamia, kuongoza, na kulinda misingi ya imani ya kanisa lao, kama walivyo viongozi wakuu wa imani yenu ya Muslim.

Vile vile pontiff's wanawakilisha mamlaka pekee ya dini ulimwengu yaani Vatican state, wana papal nuncia ambao ni mabalozi wanaomuwakilisha pope katika nchi mbali mbali na shughuli mbali mbali ulimwenguni, hivyo mamlaka kukosea na kuwajibishwa ni jambo la kawaida.

Ni kweli predessesor pontiff's wamefanya hivyo ilu kutetea na kulinda kanisa lao dhidi ya heresy & desedents kama mlivyo nyie muslims pale muhadhibu mtu mkiona anachezea Allah wenu na mnatamani mliangushe kanisa katoliki na mfanye zaidi ila ni vile hamna nguvu na ushawishi duniani.

Na baadhi ya pontiff's katika kanisa katoliki ni saints, hii yote ni kutambua juhudu zao na uongozi wao juu ya kanisa katoliki. Kuanzia kwa Banzionites movement, Napoleon's I&II, ottoman empiror, Roman emperors(hata kama vatican ipo Rome ila walipinga sana kanisa katoliki lakini kanisa katoliki kwa kusaidiwa na Greater Constantine likisimama na Constantine akafanya dini ya katoliki kuwa dini rasmi ya empire yake, hii ndiyo imepelekea kanisa katoliki kutambua mchango wake na kumtangaza kuwa saint) ,Virtolio Emmanuel II, Hitler aliyetaka kumuua pope Pius, crusaders n.k wote hao walitaka kuliangusha kanisa katoliki wakashindwa vibaya hovyo.

Kupingwa na kukosolewa kwa kanisa katoliki hakujaanza leo bali tangia karne ya kwanza kuja medieval period, Franch Revolution 1848, Protestantism chini ya Martin Luther October 31, 1517, kuja modern era lakini bado catholic wamesimama imara.

Hayo madhehebu yaliyochomoza kama orthodox, sabath, TAG, yehova ,protestant ni kwa sababu za kimaslai mfano Martin Luther yeye alitofautiani na pope Leo X kwa sababu ya indulgences juu ya kanisa katoliki ili kujenga Rome akaona na yeye aje na kanisa lake October 31, 1517 na bado ni catholic na mafundisho yao yanafuata misingi ya vitabu vya catholic na hawapingi imani ya catholic, kwahiyo hata hili limeendelea kulipa nguvu kanisa katoliki duniani.

Watu wanasema wakatoliki wanajipendekeza kwa jews, siyo kweli msingi wa katoliki na jews upo katika historia ya hizi dini mbili juu ya mji wa Jelusalem, vile vile mamlaka ya Vatican chini ya pepe Pius III katika vita ya pili ya dini ilisaidia kuwaokoa jews zaidi ya 860000 kutoka kwenye Nazis camps na kuanzishwa kwa taifa la jews yaani Israel, hivyo catholic & Jews hata kama wanatofautiana katika mambo mbali mbali ya kimiongozi, lakini kuwatenganisha na huo msingi wao siyo rahisi.

Mpaka Vatican inakuwa state ya dini yenye mamlaka pekee ikiwakilisha catholic duniani chini ya mkataba wa Lateran treaty february 1929 chini ya pope Pius III na Benito Musolin akimwakilisha king Emanuelle III ni kwa juhudu za hao pontiff's.

Mwisho kabisa nikukumbushe hata muslims mnapingana kama catholic ndiyo maana baada ya kifo cha mtume muhammad waliibuka sunnis ambao ni 90% ya muslims wote duniani na Shiites(Shia), kwahiyo migogoro ya kiimani kuhusu hizi dini haijaanza leo ipo na itaendelea kuwepo hakuna haja ya kujenga chuki miongoni mwenu
 
Pontiff's ni viongozi wakuu wa kanisa katoliki duniani, hivyo wanasimamia, kuongoza, na kulinda misingi ya imani ya kanisa lao, kama walivyo viongozi wakuu wa imani yenu ya Muslim.

Vile vile pontiff's wanawakilisha mamlaka pekee ya dini ulimwengu yaani Vatican state, wana papal nuncia ambao ni mabalozi wanaomuwakilisha pope katika nchi mbali mbali na shughuli mbali mbali ulimwenguni, hivyo mamlaka kukosea na kuwajibishwa ni jambo la kawaida.

Ni kweli predessesor pontiff's wamefanya hivyo ilu kutetea na kulinda kanisa lao dhidi ya heresy & desedents kama mlivyo nyie muslims pale muhadhibu mtu mkiona anachezea Allah wenu na mnatamani mliangushe kanisa katoliki na mfanye zaidi ila ni vile hamna nguvu na ushawishi duniani.

Na baadhi ya pontiff's katika kanisa katoliki ni saints, hii yote ni kutambua juhudu zao na uongozi wao juu ya kanisa katoliki. Kuanzia kwa Banzionites movement, Napoleon's I&II, ottoman empiror, Roman emperors(hata kama vatican ipo Rome ila walipinga sana kanisa katoliki lakini kanisa katoliki kwa kusaidiwa na Greater Constantine likisimama na Constantine akafanya dini ya katoliki kuwa dini rasmi ya empire yake, hii ndiyo imepelekea kanisa katoliki kutambua mchango wake na kumtangaza kuwa saint) ,Virtolio Emmanuel II, Hitler aliyetaka kumuua pope Pius, crusaders n.k wote hao walitaka kuliangusha kanisa katoliki wakashindwa vibaya hovyo.

Kupingwa na kukosolewa kwa kanisa katoliki hakujaanza leo bali tangia karne ya kwanza kuja medieval period, Franch Revolution 1848, Protestantism chini ya Martin Luther, kuja modern era lakini bado catholic wamesimama imara.

Hayo madhehebu yaliyochomoza kama orthodox, sabath, TAG, yehova ,protestant ni kwa sababu za kimaslai mfano Martin Luther yeye alitofautiani na pope pius kwa sababu ya kanisa kuuza insulgies ili kujenga Rome akaona na yeye aje na kanisa lake na bado ni catholic na mafundisho yao yanafuata misingi ya vitabu vya catholic na hawapingi imani ya catholic, kwahiyo hata hili limeendelea kulipa nguvu kanisa katoliki duniani.

Watu wanasema wakatoliki wanajipendekeza kwa jews, siyo kweli msingi wa katoliki na jews upo katika historia ya hizi dini mbili juu ya mji wa Jelusalem, vile vile mamlaka ya Vatican chini ya pepe Pius III katika vita ya pili ya dini ilisaidia kuwaokoa jews zaidi ya 860000 kutoka kwenye Nazis camps na kuanzishwa kwa taifa la jews yaani Israel, hivyo catholic & Jews hata kama wanatofautiana katika mambo mbali mbali ya kimiongozi, lakini kuwatenganisha na huo msingi wao siyo rahisi.

Mpaka Vatican inakuwa state ya dini yenye mamlaka pekee ikiwakilisha catholic duniani chini ya mkataba wa Lateran treaty february 1929 chini ya pope Pius III na Benito Musolin akimwakilisha king Emanuelle III ni kwa juhudu za hao pontiff's.

Mwisho kabisa nikukumbushe hata muslims mnapingana kama catholic ndiyo maana baada ya kifo cha mtume muhammad waliibuka sunnis ambao ni 90% ya muslims wote duniani na Shiites(Shia), kwahiyo migogoro ya kiimani kuhusu hizi dini haijaanza leo ipo na itaendelea kuwepo hakuna haja ya kujenga chuki miongoni mwenu
Mbona orthodox wanasema kanisa la roma ndo lilichomoka.......wao ndo kanisa la kwanza kabisa hapa duniani...............kila mtu ashinde vita zake
 
Back
Top Bottom