Teknolojia ya nyuklia wanayo warusi tangu Soviet, hata Uturuki tu anatengenezewa kinu cha nyuklia na Russia. Kwenye zana za kivita Sukhoi na Mikoyan ni wanasayansi wa kirusi waliobuni ndege vita za Sukhoi na Mig makao makuu yako Russia. Hata air defence system inayosifiwa ya S300 ambayo inatumiwa na Ukraine na hata nchi za wanachama wa Nato kama Ugiriki ni utaalam wa Russia. Kazi ya Almaz Antey hiyo, kampuni kubwa la Russia la zana za kivita.
Ukraine yenyewe ilikuwa na wataalam wake kama Antonov ambaye ndiye mbunifu wa ndege za Antonov ambazo hata Russia anazo na kiwanda kiko Ukraine.