Ukraine: Wafungwa wenye uzoefu wa kijeshi kuachiwa ili wasaidie kupambania nchi yao

Ukraine: Wafungwa wenye uzoefu wa kijeshi kuachiwa ili wasaidie kupambania nchi yao

Huyu ni mwanaume wa shoka haswaa,hatishiki na mikwara yote ya Putini na ametoa upinzani wa kutosha kulingana na nguvu za anaepigana nae.
Kwwli.
Angekubali ushauri wa kuondoka nchini...muda huu Putin angetangaza rais mpya pale Kiyv
 
Nimependa sana hii, inafikia hatua mnaweka tofauti zenu za ndani pembeni, hamna cha sijui chama hiki au kile, au Simba/Yanga au serikali au upinzani, inakua muda wa kutetea bendera ya nchi, kutetea ardhi, kutetea watoto wenu, vizazi vijavyo visiandike historia mbovu kuwahusu nyie wa leo.
Kila mmoja chukua silaha, bibi, babu, shangazi, mjomba, vijana wote wa kike au kiume, jaza chupa za petroli, tupigane kwenye vitongoji vyote, milimani, mashambani, kwenye mitaroni, nyumba kwa nyumba, mlango kwa mlango, mahandakini, mapangoni aisei hadi raha......
Ndio kilimkuta Marekani kule Vietnam, wanajeshi wake walikufa hadi akakimbia maana ilifikia hatua ikawa hajui adui ni yupi.
Spirit ya Rais wa Ukraine na Wananchi wake si ya kubezwa hata kidogo katika kulitetea Taifa lao,pamoja na vitisho vyote vya Putin lakini wamesimama Imara na hawaogopi hata kama wanajua adui yao kawazidi kwa kila kitu.
 
Raisi wa Ukraine anafaa kusaidiwa na kupongezwa, ni shujaa wa karne hii.
anajua fika mpinzani wake ana nguvu kumshinda lakini amekomaa na anahamasisha raia wake kwa nguvu zote.
m
nimemkubali sana.
Ni mjinga tu, ndie anaeweza kupambana na adui asiemuweza!
 
Muendesha Mshataka Mkuu wa Serikali ya Ukraine ametangaza kuwaachia wafungwa wote wenye uzoefu wa kijeshi ili wasaidie kuipigania nchi yao

Baadhi ya wafungwa wameshaanza kuachiwa. Ili kuweza kupambana na majeshi ya Urusi ambayo yameendelea kupiga nchi hiyo

Aidha wanawake wa nchi hiyo wamesema hawataweza kwenda vitani lakini watapambana kwa kuchangia damu ili kuwanusuru majeruhi wa vita
===
Ukraine to free incarcerated prisoners with military experience to help with the war effort - General Prosecutor’s Office in Kiev.

Authorities will also take into account “military experience, honors and remorse”.

Among those already released are Dmitry Balabuh, jailed for murdering a civilian at a bus stop. Sergey Torbin, jailed for organizing attacks on civil activists
View attachment 2132955
Kufa kufaana
 
Hii sio Nzuri
Wanaenda Kuuliwa Hovyo Kisa Wana Siasa kwa Kudanganywa Uzalendo
Yaani mie hapana aisee Uhai sio wakuchezewa
 
Nimependa sana hii, inafikia hatua mnaweka tofauti zenu za ndani pembeni, hamna cha sijui chama hiki au kile, au Simba/Yanga au serikali au upinzani, inakua muda wa kutetea bendera ya nchi, kutetea ardhi, kutetea watoto wenu, vizazi vijavyo visiandike historia mbovu kuwahusu nyie wa leo.
Kila mmoja chukua silaha, bibi, babu, shangazi, mjomba, vijana wote wa kike au kiume, jaza chupa za petroli, tupigane kwenye vitongoji vyote, milimani, mashambani, kwenye mitaroni, nyumba kwa nyumba, mlango kwa mlango, mahandakini, mapangoni aisei hadi raha......
Ndio kilimkuta Marekani kule Vietnam, wanajeshi wake walikufa hadi akakimbia maana ilifikia hatua ikawa hajui adui ni yupi.
Mfano ingekuwa kama Tanzania kwa wanavyoonea watu naomba silaha nakujifanya naedna kusaidia naanza kumtafuta kingai,ndugai na wajinga wengine halafu nakimbia namzigo.
 
Raisi wa Ukraine anafaa kusaidiwa na kupongezwa, ni shujaa wa karne hii.
anajua fika mpinzani wake ana nguvu kumshinda lakini amekomaa na anahamasisha raia wake kwa nguvu zote.
m
nimemkubali sana.
Huyo sio shujaa ni mpumbavu. Mahala ambapo pana uwezekano wa kuzuia maafa ya watu kufa na kupoteza nguvu kazi ndipo alipotakiwa kupashilikia zaidi.. sio kuhamashisha watu kufa zaidi
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Si wanasema wamewadhibiti URUSI.? Wataita waganga na kichapo kitatembea
 
Wafungwa: Sisi ni wafungwa wa Ekraine. Si watumwa wa Russia. Mheshimiwa raisi tunaomba tufe tukiwa huru, tunaomba silaha.
 
Hana ushujaa wowote sana sana anawapeleka raia wake kuuawawa.
Huwezi kuuona ushujaa wake wakati wewe hata uksisikia tu panya road wako mtaani kwako
unakimbia hadi unaacha mke na watoto nyuma kama hata hiyo familia yenyewe unayo.
 
Huyo sio shujaa ni mpumbavu. Mahala ambapo pana uwezekano wa kuzuia maafa ya watu kufa na kupoteza nguvu kazi ndipo alipotakiwa kupashilikia zaidi.. sio kuhamashisha watu kufa zaidi
kuna wakati mtu huchagua kufa kuliko kuishi:
1. tunamsoma Daniel na wenzake ktk biblia...walichagua kufa kuliko kumwabudu mungu wa kigeni.
2. akina Mkwawa walichagua kufa kuliko kumtumikia Mjerumani

kuna point unafikia unachagua kufa kuliko kuishi ukiwa mtumwa na kukosa heshima. Lakini wachumia tumbo huyakana maneno yao tu limradi waishi...huyu rais ni shujaa...kifo ni sehemu ya maisha...hata sisi tusiokuwa na vita kinatuhusu.
 
Iweni wapole kama njiwa ( ua ) na wajanja kama nyoka.. Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa.. alichotaka huyo rais ni ukikwaji wa mkataba.. simple angejifanya fala.. kuepusha maafa mda huo huo angekuwa anaangalia the best way ya kuwa salama
 
atakusanya mpaka mama ntilie ,kichapo kinamhusu .umbea na ulafi wote wa kujipendekeza kwa marekani ,vinamtolea puani.halafu marekani ,katulia mbaliiii.
Wewe ukute ni Baba unaetegemewa kuilinda familia yako katika mazingira magumu,nawapa pole sana wanaokutegemea wewe kama kiongozi wa Familia 😀
 
Back
Top Bottom