fundi25 JF-Expert Member Joined Apr 16, 2013 Posts 10,378 Reaction score 11,537 Feb 27, 2022 #61 Emen said: Kuna haja ya kila mtu kupitia jeshini Hii vita inatufunza mengi hawa watu hawakutegemea kwa karne Hii ingekua hivi siku 1 walikua wanaona nchi za kiarab na Africa tu Click to expand... hakuna Nchi ya Afrika kwa sasa ina weza pigwa tena zote ni makoloni yao kwa sasa wana ziongoza wao!!
Emen said: Kuna haja ya kila mtu kupitia jeshini Hii vita inatufunza mengi hawa watu hawakutegemea kwa karne Hii ingekua hivi siku 1 walikua wanaona nchi za kiarab na Africa tu Click to expand... hakuna Nchi ya Afrika kwa sasa ina weza pigwa tena zote ni makoloni yao kwa sasa wana ziongoza wao!!
hillongajonas JF-Expert Member Joined Oct 13, 2021 Posts 201 Reaction score 441 Feb 27, 2022 #62 cutelove said: Mungu isaidie Ukraine Click to expand... Amina[emoji120]