5523
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,275
- 2,410
Himars bado ziko kazini ila sasa wametaka za masafa ya mbali zaidi Leopard 2 wakati wowote zitaanza kazi,Ziko wapi sahizi? 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Himars bado ziko kazini ila sasa wametaka za masafa ya mbali zaidi Leopard 2 wakati wowote zitaanza kazi,Ziko wapi sahizi? 🤣
Kwani umewahi kusikia tena Wagner Group wakitajwa?? walikuja kwa kasi sasa kimya kimetawala washakula adabu yaoHakuna kitu kama hicho 🤣🤣🤣 hio iliwezekana kabla Himars hazijapatiwa muarubaini wake.
Sawa mkuu wa manunizi na uhifadhi Silaha JWTZ.Mtanzania yeyeto anae ishabikia russia hajui kitu mbaya aliyotufanyia mrussi wakati Iddi Amin alipo tuvamia na kuzuka vita ya Kagera!
[emoji116][emoji116]
Mrusi alimsaidia idi amini kwa kumuuzia ndege vita na kutupa masharti magumu tulipo muomba atuuzie heat seaking missiles ambazo zilituishia!
Kukosa Hekima ya Nyerere Kuomba msaada wa Anti aircraft Missiles Msumbiji na Algeria na wao Kutusaidia amini angeendelea kutamba kule Mwanza na ndege vita alizo pewa na mrusi!
Ile vita ingekuwa endelevu na kuwa fursa kwa mrusi kubalance vita ili kuwa ili Iwe fursa yake ya kuuza silaha [emoji56][emoji15]
Au Tatizo ww inawezekana ulikuwa bado unanyonya hujui uchungu na athari za kuvamiwa?!
wewe hujui kitu pambafWacha uongo wako wa kitoto, je, siku hizi hizo HIMARS unazisikia zikitamba tena baada ya Urusi kuzisoma na kuzipatia PANADOL, zilizo baki wanazoficha maporini na kwenye mahandaki inatolewa moja moja usiku wa manane, lakini hata hivyo roketi zake zinakuwa swep out of the sky like flies by formifable Russian ADS.
We endelea na ngonjera zako za kila siku tutaona mwisho wake hivi karibuni.
Hichi ulokisema si kweli.Mtanzania yeyeto anae ishabikia russia hajui kitu mbaya aliyotufanyia mrussi wakati Iddi Amin alipo tuvamia na kuzuka vita ya Kagera!
[emoji116][emoji116]
Mrusi alimsaidia idi amini kwa kumuuzia ndege vita na kutupa masharti magumu tulipo muomba atuuzie heat seaking missiles ambazo zilituishia!
Kukosa Hekima ya Nyerere Kuomba msaada wa Anti aircraft Missiles Msumbiji na Algeria na wao Kutusaidia amini angeendelea kutamba kule Mwanza na ndege vita alizo pewa na mrusi!
Ile vita ingekuwa endelevu na kuwa fursa kwa mrusi kubalance vita ili kuwa ili Iwe fursa yake ya kuuza silaha [emoji56][emoji15]
Au Tatizo ww inawezekana ulikuwa bado unanyonya hujui uchungu na athari za kuvamiwa?!
Mkuu, kama hufahamu haya masuala usijitutume kuandika.Illmatic
Tatizo watoto mpo wengi humu!
Kama unakumbuka Tuliteka ndege vita za amin Entebe!
Kuna ndege iliyo fika Tz hata moja??
Ref!; hata yaliyo mkuta Samora Moses Machel ndipo utajua rangi ya mrusi!
Kuna sehemu hapo nimeandika tulitaka silaha za bure??
Kanywe ghahawa kijiweniMkuu, kama hufahamu haya masuala usijitutume kuandika.
Naongelea wakati wa vita vya Kagera!Hichi ulokisema si kweli.
Hivyo vifaa Russia alikuwa akiuza kwa nchi za Afrika hata kabla huyo Iddi Amin hajaanza mambo yake.
Hivyo alipoingia madarakani akakuta vifaa tayari vipo lakini si kwamba Russia ilimuuzia Iddi Amin silaha.
Ok, weye endelea na hadithi yako.Naongelea wakati wa vita vya Kagera!
ww unaleta stori za kabla ya vita![emoji12]
Wagner wapo sana yani ni kama oxygen lazma uwavute, uwasikie hata kama huwaoni.Kwani umewahi kusikia tena Wagner Group wakitajwa?? walikuja kwa kasi sasa kimya kimetawala washakula adabu yao
Hahahahah haitasaidia loloteHimars bado ziko kazini ila sasa wametaka za masafa ya mbali zaidi Leopard 2 wakati wowote zitaanza kazi,
Bwege kweli wewe, kwahio mnaomba ndege sahizi Himars zimefyekwa zote tayari🤣🤣🤣 na boss wenu kasema hatoi silaha hadi mufanikishe counter offensiveNa wala hamtajua zilipo, endeleeni kuzisaka ila kichapo chake mnapokea....hehehe
Kuchanganyikiwa kubaya bwashee, wewe kila siku utaona mwisho wake hivi karibu aahhh!!!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wacha uongo wako wa kitoto, je, siku hizi hizo HIMARS unazisikia zikitamba tena baada ya Urusi kuzisoma na kuzipatia PANADOL, zilizo baki wanazoficha maporini na kwenye mahandaki inatolewa moja moja usiku wa manane, lakini hata hivyo roketi zake zinakuwa swep out of the sky like flies by formifable Russian ADS.
We endelea na ngonjera zako za kila siku tutaona mwisho wake hivi karibuni.
ukraine imemkosea nini mungu ?Soma biblia vizuri ndugu ..hata wayahudi walipomtenda Mungu Dhambi kuna wakati aliwafanya mateka kwenye nchi yao....Kuna wakati walitumikishwa na washami, wakati mwingine wamidiani, na hata wakati mwingine walipelekwa Utumwani Babeli kwa miaka 70 na hekalu lao lilivunjwa vibaya sana na kutiwa unajisi...na tena baada ya hayo Mungu anamuita Aliyeyafanya hayo yaani Nebukadreza Mungu anamtambua kama Mtumishi wake.
Yeremia 25:9 Angalieni nitapeleka watu na kuzitwaa jamaa zote za upande wa Kaskazini, asema Bwana, Nami nitatuma ujumbe kwa Nebukadreza mfalme wa Babeli , mtumishi wangu, nami nitawaleta juu ya nchi hii, na juu yao wakaao ndani yake, na juu ya mataifa haya yote yaliyo pande zote, nami nitawaangamiza kabisa, na kuwafanya kitu cha kushangaza na kitu cha kuzomewa, na ukiwa Daima.