4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
umekosa hoja mpk uhamie kweny ushoga ? au ndo tabia yako , JF siku ina majinga meng snWe utakuwa mrundii au mnyamlenge,, kama sio shoga,,!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umekosa hoja mpk uhamie kweny ushoga ? au ndo tabia yako , JF siku ina majinga meng snWe utakuwa mrundii au mnyamlenge,, kama sio shoga,,!
Hahahahah haitasaidia lolote
Kama ujui history bora ukar kimyaMtanzania yeyeto anae ishabikia russia hajui kitu mbaya aliyotufanyia mrussi wakati Iddi Amin alipo tuvamia na kuzuka vita ya Kagera!
[emoji116][emoji116]
Mrusi alimsaidia idi amini kwa kumuuzia ndege vita na kutupa masharti magumu tulipo muomba atuuzie heat seaking missiles ambazo zilituishia!
Kukosa Hekima ya Nyerere Kuomba msaada wa Anti aircraft Missiles Msumbiji na Algeria na wao Kutusaidia amini angeendelea kutamba kule Mwanza na ndege vita alizo pewa na mrusi!
Ile vita ingekuwa endelevu na kuwa fursa kwa mrusi kubalance vita ili kuwa ili Iwe fursa yake ya kuuza silaha [emoji56][emoji15]
Au Tatizo ww inawezekana ulikuwa bado unanyonya hujui uchungu na athari za kuvamiwa?!
Mngekuwa wakweli mngeanza kuwaonea huruma wapalestina kwanza maana wale wanabomolewa nyumba zao ili israel kupata ardhi.Kuiba ardhi ya watu ni laana.
Mmhhh![emoji56][emoji15][emoji12][emoji12]Kama ujui history bora ukar kimya
Slaha unazosema Iddi alipewa na mrusi si kweli
Ukweli ni kwamba silsha zilikua made in Russia but IDD. Hizo silaha alipewa na Swahiba wake Gadaffi aliekuwa Rais wa Libya
Then nyerere akapewa defy zake na Mrusi direct
Himars ammunitions zina range ya 90km, kwa sasa Warusi wamerudisha zana na kambi nyuma zaidi hivyo ili Himars zifanye kazi inabidi zisogee ndani ya frontline ambapo ni hatari kwa himars na operators kwani drones zipo zinawinda haswaaaaHimars bado ziko kazini ila sasa wametaka za masafa ya mbali zaidi Leopard 2 wakati wowote zitaanza kazi,
Wagner walitumia wafungwa kusogea mbele,wafungwa wameishaKwani umewahi kusikia tena Wagner Group wakitajwa?? walikuja kwa kasi sasa kimya kimetawala washakula adabu yao
Adui alikuwa ndani Kyiv sasa ametupwa nje yuko pemben pemben zikianza kazi nadhan ndio urusi anahamishwa hasa kwenye ardhi ya ukreanHahahahah haitasaidia lolote
Mzigo umeshaingia kwa Kamanda Zele![emoji122][emoji122][emoji122][emoji123][emoji106]
Beberu Kaingia mtaanj sasa Anabebesa[emoji123][emoji123]Hahahahah haitasaidia lolote
Ndoto ya mchana unaota ww [emoji12][emoji12][emoji12]Mtakaa kimya kama kawa mda si mrefu
Sawa, swali ni, je, hizo silaha kutoka Msumbiji na Algeria zilikiwa zimeundwa kutoka Taifa gani kama sio huko Urusi kwenyewe?Mtanzania yeyeto anae ishabikia russia hajui kitu mbaya aliyotufanyia mrussi wakati Iddi Amin alipo tuvamia na kuzuka vita ya Kagera!
[emoji116][emoji116]
Mrusi alimsaidia idi amini kwa kumuuzia ndege vita na kutupa masharti magumu tulipo muomba atuuzie heat seaking missiles ambazo zilituishia!
Kukosa Hekima ya Nyerere Kuomba msaada wa Anti aircraft Missiles Msumbiji na Algeria na wao Kutusaidia amini angeendelea kutamba kule Mwanza na ndege vita alizo pewa na mrusi!
Ile vita ingekuwa endelevu na kuwa fursa kwa mrusi kubalance vita ili kuwa ili Iwe fursa yake ya kuuza silaha [emoji56][emoji15]
Au Tatizo ww inawezekana ulikuwa bado unanyonya hujui uchungu na athari za kuvamiwa?!
Hilo wala hawalisemi wapo kimya - kuna wakati kinara wao alitaka kulazimisha Dunia kuhashamisheo Balozi zao huko Yelusalemu wapende wasipende - Rais Donald Trump aliwahi kutamka vitisho kama hivyo.Mngekuwa wakweli mngeanza kuwaonea huruma wapalestina kwanza maana wale wanabomolewa nyumba zao ili israel kupata ardhi.
Wale wa Ukraine wamepiga kura wenyewe kutaka maeneo yao kujiunga na Russia
Beberu Kaingia mtaanj sasa Anabebesa[emoji123][emoji123]
Sawa, swali ni, je, hizo silaha kutoka Msumbiji na Algeria zilikiwa zimeundwa kutoka Taifa gani kama sio huko Urusi kwenyewe?
Kwanza hatuna uhakika kama tulitaka tupewe msaada huo bure, tukopeshwe au tungelipa kwa kutumia mfumo upi.
Kitu kingine mbona silaha nyingi zilizo kuwa zinatumiwa na jeshi letu nyingi zilikuwa zinatoka huko huko Urusi na chache zinatoka Uchina.
Kumbe mwaka mzima unapigana na mashoga basi kumbe puti sio rizki[emoji56][emoji12]Beberu shoga huyo wacha aje kupandwa na bubeeh wa Urusi
Tulia shoga wewe af mmejazana sana humu.Kumbe mwaka mzima unapigana na mashoga basi kumbe puti sio rizki[emoji56][emoji12]