Ukraine walipua shehena la silaha za Urusi kule Crimea

Hahahahah haitasaidia lolote

Mpaka sasa kila kitu kimesaidia pakubwa, uzuri Ukraine are maximizing everything, ukizingatia tulitegemea Urusi ibamize hako ka-Ukraine ndani ya siku tano, leo mwaka umeisha Warusi wameawa kama senene na bado wameshindwa hata kufumua kamji ka-Bakhmut.
 
Kama ujui history bora ukar kimya
Slaha unazosema Iddi alipewa na mrusi si kweli
Ukweli ni kwamba silsha zilikua made in Russia but IDD. Hizo silaha alipewa na Swahiba wake Gadaffi aliekuwa Rais wa Libya
Then nyerere akapewa defy zake na Mrusi direct
 
Kama ujui history bora ukar kimya
Slaha unazosema Iddi alipewa na mrusi si kweli
Ukweli ni kwamba silsha zilikua made in Russia but IDD. Hizo silaha alipewa na Swahiba wake Gadaffi aliekuwa Rais wa Libya
Then nyerere akapewa defy zake na Mrusi direct
Mmhhh![emoji56][emoji15][emoji12][emoji12]
 
Himars bado ziko kazini ila sasa wametaka za masafa ya mbali zaidi Leopard 2 wakati wowote zitaanza kazi,
Himars ammunitions zina range ya 90km, kwa sasa Warusi wamerudisha zana na kambi nyuma zaidi hivyo ili Himars zifanye kazi inabidi zisogee ndani ya frontline ambapo ni hatari kwa himars na operators kwani drones zipo zinawinda haswaaaa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Sawa, swali ni, je, hizo silaha kutoka Msumbiji na Algeria zilikiwa zimeundwa kutoka Taifa gani kama sio huko Urusi kwenyewe?

Kwanza hatuna uhakika kama tulitaka tupewe msaada huo bure, tukopeshwe au tungelipa kwa kutumia mfumo upi.

Kitu kingine mbona silaha nyingi zilizo kuwa zinatumiwa na jeshi letu nyingi zilikuwa zinatoka huko huko Urusi na chache zinatoka Uchina.
 
Mngekuwa wakweli mngeanza kuwaonea huruma wapalestina kwanza maana wale wanabomolewa nyumba zao ili israel kupata ardhi.

Wale wa Ukraine wamepiga kura wenyewe kutaka maeneo yao kujiunga na Russia
Hilo wala hawalisemi wapo kimya - kuna wakati kinara wao alitaka kulazimisha Dunia kuhashamisheo Balozi zao huko Yelusalemu wapende wasipende - Rais Donald Trump aliwahi kutamka vitisho kama hivyo.
 

Hata zingeundwa russia kwani bado zao wakti wameuza??!
Jeshi letu tulikuwa tulikuwa tunatumia silaha nyingi na Wataalam toka China! Silaha chache sana toka russia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…