Ukraine walipua shehena la silaha za Urusi kule Crimea

Chanzo cha taarifa ra ni yule Nduluche 🤣🤣🤣🤣👆🏻👆🏻👆🏻
 
Ziko wapi sahizi? 🤣
Kila stage ya vita ina plan yake, mkakati na aina ya silaha.
Kuna wakati Ukraine walitumia sana drones, Russia walipobadili mbinu Ukraine nao wakabadili silaha, tukaona jinsi Jevelin zilivyofanya kazi.
Baadaye zikaja nyingine, ndipo zikaletwa HIMARS. Tuliiona kazi iliyofanywa na HIMARS. Baada ya Himars kufanikiwa katika mission, sasa hivi utaketwa mzigo mwingine.
Tstizo lenu baada ya kuona ukimya huo ninyi mnaamua kutafsiri mtakavyo, eti amezipatia Mwarobaini, huo mwarobaini sijui mnaujua nyie peke yenu😅, nyie Warusi mna siri sana.
Kumbe ninyi mlitaka na kutarajia mwanzo hadi mwisho zitumike silaha zilezile, yaani hata silaha hii ikishakamilisha malengo iendelee tu hiyohiyo.

HIMARS bbada ya kukamilisha shabaha yake kikamilufu sasa mzugo unagombewa huko sokoni, ni zamu ya Uingereza naye anataka kupanda na silaha nyingine😃, Ujerumani naye ya kwake karibu inakuja
 
Malengo gani iliokamilisha, labda malengo ya kufyekwa na mrusi. Effective weaponry haziwezi acha kutumiwa frontline ila baada ya kuona zinakuwa intercepted na maghala kuchomwa kila siku hazifiki vitani ndio maana hazisikiki sio kwamba hazitumwi.
 
Angefanikiwa kuzi intercept nadhani hizo kelele pasingetosha.
Inabidi tu mashabiki muanze kushangilia matamanio baada ya kukosa mafanikio
 
Angefanikiwa kuzi intercept nadhani hizo kelele pasingetosha.
Inabidi tu mashabiki muanze kushangilia matamanio baada ya kukosa mafanikio
Khinzal missile iliofyeka mamluki toka poland na US vipi? Mlishindwa kuipiga himars? 🤣 🤣 🤣
 
Kwani Watanzania ndio wanaunamga mkono uvamizi wa nchi nyingine?!
Ngumu kuzui km nchi ina land borders nyingi imepakana na nchi nyingine ingekuwa kisiwa ungezui baharini km alivyochukua baadhi ya ports za ukraine
 
hapo ujue Israel hajapeleka hata beki mmoja kulinda goli la Ukraine.hajapeleka hata mawinga wakali kupeleka krosi krosi za hatari golini mwa urusi. akiamua tuu waulize the Arab League six days war maana yake ni nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…