MAKA Jr
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 267
- 209
Ukraine wana vita/machafuko lakini wana muda wa kupanga, kulima, na kulisha Afrika ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Ukraine iko vita na kwenye machafuko kwa miaka kadhaa sasa lakini wana mipango dhabiti, wana muda wa kulima ndani ya machafuko yao, na wana-manage kusafirisha mazao yao ya kilimo na kuilisha Afrika, na hasa Congo (DRC) ambayo ni moja ya nchi tajiri sana Duniani."
Afrika kulia tunashindwa, kucheka tunashindwa, tunabaki kuangalia tu.
Kama aliyeturoga bado yupo hai, basi kuna matatu Aidha (1) ameshasahau dawa ilipo, (2) anajua dawa ilipo lakini ameamua kutukomoa, au (3) watu wamemwambia asitoe dawa kwa kuwa wananufaika na kurogwa kwetu. NYIE!