TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Chama Tawala cha Ukraine ni kipi?Au siyo kwmb Serikali haihuski na utafutaji wa watu inaowaongoza unazjua sera za taifa lako khs watz? Majitu ya ccm bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama Tawala cha Ukraine ni kipi?Au siyo kwmb Serikali haihuski na utafutaji wa watu inaowaongoza unazjua sera za taifa lako khs watz? Majitu ya ccm bhana
Kila kona ni shida.Watu waliishafanya hicho kilimo cha mkataba wakaangukia pua. Watu huku Songwe walikuwa wanalima maharage mazuri na kupeleka South kwa mkataba. South waliyapenda sana sababu hayana gesi. Mara serikali ikaingia na habari za kufunga mipaka na usalama wa chakula. Kile kilimo cha maharage leo kimekufa.
Ni kweli kabisa ndugu. Lakini the fact ni kwamba wana vita still wana-manage kufanya hivyo. Ni nchi gani ya Kiafrika inaweza kuwa kwenye mzozo na ku-manage hivyo wakati hata kwenye utulivu bado hatuwezi kufanya hivyo?Ondokana na hiyo mentality mkuu, watu wanafanya kazi kwa mikataba ukiwa na mkataba wa export ma umefuata process zote hakuna wakukuzuia
Uko sahihi, lakini ni nchi gani ya Kiafrika inaweza ku-manage hivyo wakati iko kwenye mzozo wa kivita? Kwa kifupi, ni sawa vita haiko sehemu yote, lakini inahitajika udhabiti kufanya ambacho Ukraine inafanya.Kwanza Fahamu vita Vinapiganwa eneo la Mpaka wa Urusi, Ukraine ni Nchi kubwa na eneo kubwa tu Hakuna vita
View attachment 3173899
Pili kila mtu Ana Export Vitu Vyake, Ukraine Kazizidi Nchi za Ki Africa ila sio sana Roughly wana Export kama 20-30B kwa mwaka, Kama Ukraine ingekua Nchi ya Africa ingekua ya 9, Nchi kama South, Nigeria, Morocco, Egpty, Algeria, Congo, Angola etc zinamzidi Ukraine.
Mkuu kila sehemu Kuba challenge ukikata Tampa utakuwa ni mtu kuhangaika ni kweli hakuna sera nzuri lakini haikufanyi kuacha inabidi ufanye kilimo kama kazi ukijua Kuna kupata na kukosa. Mimi ni muhanga sana niliwahi kurupuka kununua mashamba korosho kipindi kile cha magu bei imepanda watu wakawa wananywesha mbuz soda. Mwaka uliofuata ikawa ni vilio Kuna korosho za mwaka 2018 mpaka leo sijui malipo.Watu waliishafanya hicho kilimo cha mkataba wakaangukia pua. Watu huku Songwe walikuwa wanalima maharage mazuri na kupeleka South kwa mkataba. South waliyapenda sana sababu hayana gesi. Mara serikali ikaingia na habari za kufunga mipaka na usalama wa chakula. Kile kilimo cha maharage leo kimekufa.
Mkuu hapo Sasa sio serikali tena Bali ni nguvu ya wananchi hawajakata tamaa, kumbuka pia mrusi kabana bandari zao kule ila bado hawajakata tamaaa. Kuna mkulima wa marekani wanamwita Mike less kawekeza sana kule tena pesa ndefu na hajakataa tamaa ndo mtu aliyenunua ideal 10 combine harvesters 10 kwa mpigo kumbuka harvester moja ni usd 1mil header za kuvunia zile za geringhoff za 16row zinaanzia usd 200000.Ni kweli kabisa ndugu. Lakini the fact ni kwamba wana vita still wana-manage kufanya hivyo. Ni nchi gani ya Kiafrika inaweza kuwa kwenye mzozo na ku-manage hivyo wakati hata kwenye utulivu bado hatuwezi kufanya hivyo?
Malizia tu sisi ni wavivu huo ndo ukweli. Yaan wanaolima ni vizeeSisi huku ni ushabiki wa mipira,vijana wenye nguvu ya kulima,tunashinda tunabeti na kutengeneza kontenti ticktock na kwenye mitandao mingine,na ili kontenti ziwavutie watu,kunakua na za uchi nyingi,vijijini wamebaki wazee tu ambao hawana nguvu za kulima.Ujinga mtupu.Swrikali nayo inakusanya kodi na kukopakopa tu.Ujingaujinga tu.
big up concotdie 101 umemalizaMalizia tu sisi ni wavivu huo ndo ukweli. Yaan wanaolima ni vizee
Asilimia kubwa wanaoexport mazao hata leseni hawanajusi waziri Kitila Mkumbo alitumia neno moja zuri nilipenda kwamba watz tuache kujichapa wenyewe kwa fimbo ndicho ninachokiona kwa watz wengi..kila mara tunajificha kwenye kichaka cha kulaumu bila hata kujaribu kwanza...niulize labda aliyelima kisasa akaenda kuuza nje hata hapa DRC,Kenya ,Comoro tu baada ya kufuata taratibu nani? Tukiendelea huu utamaduni wa kalaumu serikali usiku kucha hatutoboi hata ije serikali ya malaika leo.
Boss Congo Ina Export kushinda Ukraine na Ipo kwenye Vita, Same kwa Libya, Tena ukiangalia Population ya Libya ni Milioni 6 tu compare na Ukraine milioni 37.Uko sahihi, lakini ni nchi gani ya Kiafrika inaweza ku-manage hivyo wakati iko kwenye mzozo wa kivita? Kwa kifupi, ni sawa vita haiko sehemu yote, lakini inahitajika udhabiti kufanya ambacho Ukraine inafanya.
Kazi zenyewe ziko wapiHakika, watu tunatakiwa kufanya kazi.
Wazungu walishavuka level za chama tawala kule kila chama knaweza kushnda hata kama ktaanzshwa leo maslahi kwa taifa mbele na wananchi na ndo maana watawala na wapinzan wanaweza kukaa meza 1Chama Tawala cha Ukraine ni kipi?
Waafrica tunaamini siku moja inzi watazalisha asali..hahaha,hatuna viongozi wenye visions,na ukiwa kiongozi mzuri lazima ujue historia vizuri,adui wa bara lako,rafiki wa bara lako,matatizo yaliyotegwa au kutengenezwa na mataifa adui wasio na nia njema na bara ili, then tusolve vipi problems &challenges in positive ways for the benefits of our continent / countryUkraine wana vita/machafuko lakini wana muda wa kupanga, kulima, na kulisha Afrika 😭😭😭
Ukraine iko vita na kwenye machafuko kwa miaka kadhaa sasa lakini wana mipango dhabiti, wana muda wa kulima ndani ya machafuko yao, na wana-manage kusafirisha mazao yao ya kilimo na kuilisha Afrika, na hasa Congo (DRC) ambayo ni moja ya nchi tajiri sana Duniani."
Afrika kulia tunashindwa, kucheka tunashindwa, tunabaki kuangalia tu.
Kama aliyeturoga bado yupo hai, basi kuna matatu Aidha (1) ameshasahau dawa ilipo, (2) anajua dawa ilipo lakini ameamua kutukomoa, au (3) watu wamemwambia asitoe dawa kwa kuwa wananufaika na kurogwa kwetu. NYIE!View attachment 3173865
Basi Tuchape kazi na sisi tuvuke levels za domokayaWazungu walishavuka level za chama tawala kule kila chama knaweza kushnda hata kama ktaanzshwa leo maslahi kwa taifa mbele na wananchi na ndo maana watawala na wapinzan wanaweza kukaa meza 1