concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 3,379
- 6,624
Mtu analalamikia serikali mbona fursa kibao tu. Ebu acre 50 za ngano upeleke Azam pale uone kama watakataaNdio maana weliotoka usingizini wanaona fursa za makoloni afrika kwa mara nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu analalamikia serikali mbona fursa kibao tu. Ebu acre 50 za ngano upeleke Azam pale uone kama watakataaNdio maana weliotoka usingizini wanaona fursa za makoloni afrika kwa mara nyingine
Kwanza Fahamu vita Vinapiganwa eneo la Mpaka wa Urusi, Ukraine ni Nchi kubwa na eneo kubwa tu Hakuna vitaUkraine wana vita/machafuko lakini wana muda wa kupanga, kulima, na kulisha Afrika 😭😭😭
Ukraine iko vita na kwenye machafuko kwa miaka kadhaa sasa lakini wana mipango dhabiti, wana muda wa kulima ndani ya machafuko yao, na wana-manage kusafirisha mazao yao ya kilimo na kuilisha Afrika, na hasa Congo (DRC) ambayo ni moja ya nchi tajiri sana Duniani."
Afrika kulia tunashindwa, kucheka tunashindwa, tunabaki kuangalia tu.
Kama aliyeturoga bado yupo hai, basi kuna matatu Aidha (1) ameshasahau dawa ilipo, (2) anajua dawa ilipo lakini ameamua kutukomoa, au (3) watu wamemwambia asitoe dawa kwa kuwa wananufaika na kurogwa kwetu. NYIE!View attachment 3173865
Ni kweli ccm imekunyang'anya Jembe usilimeTatizo ni ma ccm hayo yametufikisha hapa Unafikiri kulima wanajilimia tu bila capital,sera nzuri na masoko au una maanisha kulima kupi.
Au cio,Ni kweli ccm imekunyang'anya Jembe usilime
Bora Tanganyika haimo! Kenya na Nigeria wametuaibisha!Ukraine wana vita/machafuko lakini wana muda wa kupanga, kulima, na kulisha Afrika 😭😭😭
Ukraine iko vita na kwenye machafuko kwa miaka kadhaa sasa lakini wana mipango dhabiti, wana muda wa kulima ndani ya machafuko yao, na wana-manage kusafirisha mazao yao ya kilimo na kuilisha Afrika, na hasa Congo (DRC) ambayo ni moja ya nchi tajiri sana Duniani."
Afrika kulia tunashindwa, kucheka tunashindwa, tunabaki kuangalia tu.
Kama aliyeturoga bado yupo hai, basi kuna matatu Aidha (1) ameshasahau dawa ilipo, (2) anajua dawa ilipo lakini ameamua kutukomoa, au (3) watu wamemwambia asitoe dawa kwa kuwa wananufaika na kurogwa kwetu. NYIE!View attachment 3173865
Au siyo kwmb Serikali haihuski na utafutaji wa watu inaowaongoza unazjua sera za taifa lako khs watz? Majitu ya ccm bhanaWako setious
Huku ni siasa tu
Mtu asubuhi mpaka jioni anamlalamikia rais badala ya kufanya kazi
Wkt wa kulima napambana mwnyw tena mbegu bei juu sbb zmewekewa kodi kubwa haya nikivuna na kutaka kuuza samia ananipangia niuze wp bila kujari napata faida au hasaraMkuj kwa mfano Sasa hivi samia anakuwaje kikwazo kwako usilime.
Wewe ni tahiraNdio tunatatizo la CCM lakini sio kigezo cha kushindwa kuendelea mbona pamoja na huo ugumu watu bado wanalima na wanatajirika ipo siku mambo yatakaa Sawa tu na yakikaa Sawa unajikuta tayari wewe uko kwenye nafasi kubwa. Bado tanzania kuna mazao kibao yenye faida hatujayafanyia kazi .
Mbona pamoja na mchele kuwa bei ndogo ila watu bado wanalima na wanavuna faida juu
Tatizo la Afrika ni HAKUNA uongozi BoraUkraine wana vita/machafuko lakini wana muda wa kupanga, kulima, na kulisha Afrika 😭😭😭
Ukraine iko vita na kwenye machafuko kwa miaka kadhaa sasa lakini wana mipango dhabiti, wana muda wa kulima ndani ya machafuko yao, na wana-manage kusafirisha mazao yao ya kilimo na kuilisha Afrika, na hasa Congo (DRC) ambayo ni moja ya nchi tajiri sana Duniani."
Afrika kulia tunashindwa, kucheka tunashindwa, tunabaki kuangalia tu.
Kama aliyeturoga bado yupo hai, basi kuna matatu Aidha (1) ameshasahau dawa ilipo, (2) anajua dawa ilipo lakini ameamua kutukomoa, au (3) watu wamemwambia asitoe dawa kwa kuwa wananufaika na kurogwa kwetu. NYIE!View attachment 3173865
Mkuu hakuna restriction ya kuuza cereals kama una leseniUkilima hizo ngano hapa Tanzania utaruhusiwa kwenda kuuza huko DRC? Shida kubwa ipo hapo. Ukraine wako vitani lakini wanauza bado mazao nje. Hapa ungesikia nchi ipo vitani tufunge mipaka. Tanzania ni ya pili Africa kwa kuwa na eneo kubwa linalofaa kwa kilimo. Tuna uwezo wa kulima na kulisha Africa nzima. Lakini sera mbovu ya biashara ya mazao ya kilimo ndizo kikwazo kikubwa.
Nashukuru ones onesha werevu wako basiWewe ni tahira
Mkuuu ukiachana na mazao ambayo ni stakabadhi gharani zao gani umezuiwa kuuza ukiwa na leseni ?Wkt wa kulima napambana mwnyw tena mbegu bei juu sbb zmewekewa kodi kubwa haya nikivuna na kutaka kuuza samia ananipangia niuze wp bila kujari napata faida au hasara
Hakuna guarantee. Muda wowote serikali ikijisikia inaweka zuia.Mkuu hakuna restriction ya kuuza cereals kama una leseni
Kwanini isiwalishe wakati mnaongozwa na chawa wanyonya damu?Ukraine wana vita/machafuko lakini wana muda wa kupanga, kulima, na kulisha Afrika 😭😭😭
Ukraine iko vita na kwenye machafuko kwa miaka kadhaa sasa lakini wana mipango dhabiti, wana muda wa kulima ndani ya machafuko yao, na wana-manage kusafirisha mazao yao ya kilimo na kuilisha Afrika, na hasa Congo (DRC) ambayo ni moja ya nchi tajiri sana Duniani."
Afrika kulia tunashindwa, kucheka tunashindwa, tunabaki kuangalia tu.
Kama aliyeturoga bado yupo hai, basi kuna matatu Aidha (1) ameshasahau dawa ilipo, (2) anajua dawa ilipo lakini ameamua kutukomoa, au (3) watu wamemwambia asitoe dawa kwa kuwa wananufaika na kurogwa kwetu. NYIE!View attachment 3173865
Ondokana na hiyo mentality mkuu, watu wanafanya kazi kwa mikataba ukiwa na mkataba wa export ma umefuata process zote hakuna wakukuzuiaHakuna guarantee. Muda wowote serikali ikijisikia inaweka zuia.
Walianza na jembe la mkono miaka na miaka mpka kufikia hapoHawalimi kwa kutumia jembe la mkono
Watu waliishafanya hicho kilimo cha mkataba wakaangukia pua. Watu huku Songwe walikuwa wanalima maharage mazuri na kupeleka South kwa mkataba. South waliyapenda sana sababu hayana gesi. Mara serikali ikaingia na habari za kufunga mipaka na usalama wa chakula. Kile kilimo cha maharage leo kimekufa.Ondokana na hiyo mentality mkuu, watu wanafanya kazi kwa mikataba ukiwa na mkataba wa export ma umefuata process zote hakuna wakukuzuia