Ukraine wana vita/machafuko lakini wana muda wa kupanga, kulima, na kulisha Afrika

Ukraine wana vita/machafuko lakini wana muda wa kupanga, kulima, na kulisha Afrika

Ukraine wana vita/machafuko lakini wana muda wa kupanga, kulima, na kulisha Afrika [emoji24][emoji24][emoji24]

Ukraine iko vita na kwenye machafuko kwa miaka kadhaa sasa lakini wana mipango dhabiti, wana muda wa kulima ndani ya machafuko yao, na wana-manage kusafirisha mazao yao ya kilimo na kuilisha Afrika, na hasa Congo (DRC) ambayo ni moja ya nchi tajiri sana Duniani."

Afrika kulia tunashindwa, kucheka tunashindwa, tunabaki kuangalia tu.

Kama aliyeturoga bado yupo hai, basi kuna matatu Aidha (1) ameshasahau dawa ilipo, (2) anajua dawa ilipo lakini ameamua kutukomoa, au (3) watu wamemwambia asitoe dawa kwa kuwa wananufaika na kurogwa kwetu. NYIE!View attachment 3173865
Ww si mwafrika vilevile tunaomba jibu
 
Wako setious

Huku ni siasa tu

Mtu asubuhi mpaka jioni anamlalamikia rais badala ya kufanya kazi
Na rais vilevile kila siku ni kuibia hazina ya nchi yake sasa hapo ngoma droo
Huyu anapora hazina mwananchi analalamika
 
Sema tunarudishwa nyuma na wa twawala.Wakishiba wao wengine tafuteni pakula na namna ya kupata chakula.
Wao na jamaa zao wakishiba wanaropoka "hata mle nyasi, ndege ya raisi lazima inunuliwe"; "kama hutaki hamia Burundi".

Yaani mtu mzima anayeonekana msomi anakopa kila siku, anatetea mikopo kwenye miradi mfu, akibanwa juu ya ulipaji wa madeni anaropoka "hakuna mtu atagongewa mlango kudaiwa deni", na baadaye kidogo anapeleka bajeti yenye matozo kibao ili kulipa madeni.

Kuna karne ili akili zichangamke, na wakati huo taifa litakuwa koloni kwa kuwa rasilimali zote wajanja watakuwa wamekadhiwa kwa mikataba migumu.
 
Wako setious

Huku ni siasa tu

Mtu asubuhi mpaka jioni anamlalamikia rais badala ya kufanya kazi
Hata mtu akianzisha kibanda cha chipsi anakutana na matozo kibao, akikomaa kulipa, wakusanyaji wanapeleka Uswizi. Ni zuzu pekee ndio atakaa kimya.
 
Hata mtu akianzisha kibanda cha chipsi anakutana na matozo kibao, akikomaa kulipa, wakusanyaji wanapeleka Uswizi. Ni zuzu pekee ndio atakaa kimya.
Ukraine wanalima

Na sisi tulime… au mwenzetu unalima chipsi?
 
Upeo wako kama ni mdogo basi huwezi kuona correlation ya nilichoandika. Ila kuna siku utakuja kuona baada ya kupatwa.
Sawa nakubaliana na upeo wangu lakini ungeeleza ni kwa namna gani ame fail . Kushindwa kujibu na kukimbilia matusi ni Dalila ya uchawa maana chawa huwa Hana facts Bali ni matusi.
Eleza kwa mfano labda Kuna ufisadi kwa namna hiii na hii sio kukimbilia matus
 
Sasa wewe kama huoni ku-fail kwa Samia na CCM nitakusaidiaje? Ndiyo maana nakuambia subiri na uombe Mungu uzima kuna siku utaona. Mimi siko hapa kufundisha au kubishana vitu ambavyo viko wazi.
 
Kila mmoja katika hizi nchi ni lazima ashike na kukaa kwenye nafasi yake no matter the situation. Kwahiyo jamaa wanapambana ila wapo wengine ni wazalishaji. Afrika pia hata Kama wanapambana Kama Congo ila madini yanachimbwa. Ikitokea wengine nao hata Kama Kuna utulivu wanatakiwa wahakikishe wanakuwa kwenye nafasi yao😀
 
Sasa wewe kama huoni ku-fail kwa Samia na CCM nitakusaidiaje? Ndiyo maana nakuambia subiri na uombe Mungu uzima kuna siku utaona. Mimi siko hapa kufundisha au kubishana vitu ambavyo viko wazi.
Kwangu mimi sijaona alipofail kwa sababu kama fdi zinaongezeka, masoko ya bidhaa mbalimbali yameongezeka watu wanapata ajira sijaona alipofaili .
Wewe ndo ulitakiwa useme kuwa samia kafail hapa kama mimi navyoweza kukwambia magu failed us na nikatoa sababu
 
Back
Top Bottom