Ukraine wana vita/machafuko lakini wana muda wa kupanga, kulima, na kulisha Afrika

Kwanza Fahamu vita Vinapiganwa eneo la Mpaka wa Urusi, Ukraine ni Nchi kubwa na eneo kubwa tu Hakuna vita


Pili kila mtu Ana Export Vitu Vyake, Ukraine Kazizidi Nchi za Ki Africa ila sio sana Roughly wana Export kama 20-30B kwa mwaka, Kama Ukraine ingekua Nchi ya Africa ingekua ya 9, Nchi kama South, Nigeria, Morocco, Egpty, Algeria, Congo, Angola etc zinamzidi Ukraine.
 
Tatizo ni ma ccm hayo yametufikisha hapa Unafikiri kulima wanajilimia tu bila capital,sera nzuri na masoko au una maanisha kulima kupi.
Ni kweli ccm imekunyang'anya Jembe usilime
 
Ukilima hizo ngano hapa Tanzania utaruhusiwa kwenda kuuza huko DRC? Shida kubwa ipo hapo. Ukraine wako vitani lakini wanauza bado mazao nje. Hapa ungesikia nchi ipo vitani tufunge mipaka. Tanzania ni ya pili Africa kwa kuwa na eneo kubwa linalofaa kwa kilimo. Tuna uwezo wa kulima na kulisha Africa nzima. Lakini sera mbovu ya biashara ya mazao ya kilimo ndizo kikwazo kikubwa.
 
Bora Tanganyika haimo! Kenya na Nigeria wametuaibisha!
 
Wako setious

Huku ni siasa tu

Mtu asubuhi mpaka jioni anamlalamikia rais badala ya kufanya kazi
Au siyo kwmb Serikali haihuski na utafutaji wa watu inaowaongoza unazjua sera za taifa lako khs watz? Majitu ya ccm bhana
 
Mkuj kwa mfano Sasa hivi samia anakuwaje kikwazo kwako usilime.
Wkt wa kulima napambana mwnyw tena mbegu bei juu sbb zmewekewa kodi kubwa haya nikivuna na kutaka kuuza samia ananipangia niuze wp bila kujari napata faida au hasara
 
Wewe ni tahira
 
Tatizo la Afrika ni HAKUNA uongozi Bora
 
Mkuu hakuna restriction ya kuuza cereals kama una leseni
 
Wkt wa kulima napambana mwnyw tena mbegu bei juu sbb zmewekewa kodi kubwa haya nikivuna na kutaka kuuza samia ananipangia niuze wp bila kujari napata faida au hasara
Mkuuu ukiachana na mazao ambayo ni stakabadhi gharani zao gani umezuiwa kuuza ukiwa na leseni ?
 
Kuna jitu lilisema rasilimali zipo ila hatujajua kuzitumia imagine mkuu wa nchi ana ongea pumba kama hii public
 
Kwanini isiwalishe wakati mnaongozwa na chawa wanyonya damu?
 
Ondokana na hiyo mentality mkuu, watu wanafanya kazi kwa mikataba ukiwa na mkataba wa export ma umefuata process zote hakuna wakukuzuia
Watu waliishafanya hicho kilimo cha mkataba wakaangukia pua. Watu huku Songwe walikuwa wanalima maharage mazuri na kupeleka South kwa mkataba. South waliyapenda sana sababu hayana gesi. Mara serikali ikaingia na habari za kufunga mipaka na usalama wa chakula. Kile kilimo cha maharage leo kimekufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…