Ukraine washambulia mji wa Shebekino, Urusi kwa makombora, Urusi ndani ndani

😂😂
Mbona hayo mashambulizi ya Ukraine hayana hasara kubwa?yaani hayawafaidishi Ukraine?wakati warusi wakifanya mashambulizi mpka wanajeshi wa NATO wanauawa.mfano jana watu waliendelea German kufanya mazishi.haya mashambulizi hayana uwezo wa kuirudisha urusi nyuma na sasa hivi khakov na Odessa yajiandae
wazee wa SMO 72hrs sasa ni miaka miwili mwanzo mkasema likirushwa tu jiwe moscow mta act accordingly ila sasa hivi mmefatwa mpaka mnako lala mnasema mashambuliz yanayo fanyika hayana madhara vichekesho kama hivi uta vipata kremlin tu na tehran
 
Ukraine kipigo walichopata
 
Attachments

  • tmp-cam--736261093.jpg
    tmp-cam--736261093.jpg
    25.2 KB · Views: 4
Ukiangalia mashambulizi yote ya Ukraine yana athari ndogo kwa urusi na haijafanya urusi kuwa dhaifu ni kama Ukraine wanapoteza muda tu.

ungekuwa unaelewa mambo ya Ulinzi wa nchi tena kubwa kama Urusi madhara wanayopata kama nchi ni makubwa sema indirect. kwa sasa wanaweza wakawa wanatumia $500mil per day kuimarisha ulinzi. per week ni zaidi ya hasara unayoiongelea wewe.
 
Tutachukua maeneo kama fidia ya hii vita maeneo yenye mali .
 
Mbona hayo mashambulizi ya Ukraine hayana hasara kubwa?yaani hayawafaidishi Ukraine?wakati warusi wakifanya mashambulizi mpka wanajeshi wa NATO wanauawa.mfano jana watu waliendelea German kufanya mazishi.haya mashambulizi hayana uwezo wa kuirudisha urusi nyuma na sasa hivi khakov na Odessa yajiandae
Hv ulifaulu drs la saba ? Kutoka kuwarudisha nyuma warusi waliokuwa ndan ya kyiev hadi kuanza kutandika ndan ya Urusi bado huon hasara ?
 
Mbona hayo mashambulizi ya Ukraine hayana hasara kubwa?yaani hayawafaidishi Ukraine?wakati warusi wakifanya mashambulizi mpka wanajeshi wa NATO wanauawa.mfano jana watu waliendelea German kufanya mazishi.haya mashambulizi hayana uwezo wa kuirudisha urusi nyuma na sasa hivi khakov na Odessa yajiandae
Hasara wanayopata Russia wewe utafahamu kwa njia gani, nani atakwambia.?
 
Back
Top Bottom