Ukraine washambulia mji wa Shebekino, Urusi kwa makombora, Urusi ndani ndani

😂😂
wazee wa SMO 72hrs sasa ni miaka miwili mwanzo mkasema likirushwa tu jiwe moscow mta act accordingly ila sasa hivi mmefatwa mpaka mnako lala mnasema mashambuliz yanayo fanyika hayana madhara vichekesho kama hivi uta vipata kremlin tu na tehran
 
Ukraine kipigo walichopata
 
Attachments

  • tmp-cam--736261093.jpg
    25.2 KB · Views: 4
Ukiangalia mashambulizi yote ya Ukraine yana athari ndogo kwa urusi na haijafanya urusi kuwa dhaifu ni kama Ukraine wanapoteza muda tu.

ungekuwa unaelewa mambo ya Ulinzi wa nchi tena kubwa kama Urusi madhara wanayopata kama nchi ni makubwa sema indirect. kwa sasa wanaweza wakawa wanatumia $500mil per day kuimarisha ulinzi. per week ni zaidi ya hasara unayoiongelea wewe.
 
Tutachukua maeneo kama fidia ya hii vita maeneo yenye mali .
 
Hv ulifaulu drs la saba ? Kutoka kuwarudisha nyuma warusi waliokuwa ndan ya kyiev hadi kuanza kutandika ndan ya Urusi bado huon hasara ?
 
Hasara wanayopata Russia wewe utafahamu kwa njia gani, nani atakwambia.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…