Ukraine wasimika bendera yao Kherson baada ya kutembeza kichapo cha HIMARS

Muziki ulianzia pale Kyev, tulijua Ukraine kwisha habari, ila leo tunaongea mengine tofauti sana yaani...
One Putin vs 30+ rich countries na anawakalisha
 

Attachments

  • FB_IMG_1661564000778.jpg
    20.5 KB · Views: 6
  • FB_IMG_1657808365480.jpg
    52.1 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1657808318087.jpg
    46.8 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1657808021018.jpg
    26.3 KB · Views: 3


Putin awakabe koo kwenye gas tu asiwaache wapumue,🤣🤣--- kwani wao si wamemuwekea vikwazo??
 
Hata usiwaze dunia itasimama😂😂😂😂😂
One Putin vs 30+ rich countries bado anawakalisha kitako,🤣🤣🤣, sipati picha itakuaje kama Mchina, north korea na Iran wakiungana na Putin??!!
 
Putin awakabe koo kwenye gas tu asiwaache wapumue,🤣🤣--- kwani wao si wamemuwekea vikwazo??

Gesi hainipi shida, ile tu kwamba anazidi kuaibishwa na usupapawa wake imetosha....kainchi kadogo mithili ya mkoa wake mmoja.
 
One Putin vs 30+ rich countries na anawakalisha

Siku moja kombora lake likosee njia na kugusa kataifa kamoja ka NATO ndio mje muongee 30 countries....
Humo kwa 30 countries kuna mataifa ambayo yenyewe tu yanamfuta bila kutegemea usaidizi, hilo limekua wazi baada ya kuona anavyotezwa na kainchi kadogo.
 
Wameshindw
A kusimama wenyewe wakaungana na wanakalishwa, USA yeye kama yeye hawezi kusimama na Russia
 
Gesi hainipi shida, ile tu kwamba anazidi kuaibishwa na usupapawa wake imetosha....kainchi kadogo mithili ya mkoa wake mmoja.
Kwamba Ukraine iko yenyewe? Huoni kuna nchi ngapi nyuma
 
Weraaaaaaaa weraaaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....wapi warusi wa tandale
 
Nimewaambia mwambieni Mrusi akosee ashambulie kataifa kamoja ka NATO muone akifutika mchana peupe.....
Analizwa na kataifa kadogo hadi kilio...
Ata akiwalushia kabomu hakuna kitu watakachokifanya zaidi ya kubweka tu na kutegeana nani aanze kuli- respond maana nchi zote za NATO zinafahamu musiki wa Russia. Huko Ukraine Russia anatumia 5% tu ya nguvu zake maana anatambjua wao ni ndugu wa damu ila
 
Si wameuliwa 16000 Siku moja tu ya Offensives [emoji31][emoji31][emoji31] sasa huo ushindi wameupata wapi ni Propaganda hii

Na log off Z
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Jamani sa Poland anavyomtofya jichoni kabisa na huyu Latvia kamuekea vikwazo kupitisha baadhi ya Vitu kufikia Karingrad

Angemlenga Poland tu Sababu pia kuna vikosi vingi sana vya askari wa Nato
 
Kuna shoga moja la kirusi nimelidaka linasifia ushoga wakati kwenye nyuzi zetu latutusi sana kuhusu ushoga
Litaje Mkuu Mkuu ila nahisi kuja jamaa linajiita kabisa Wakupurizwa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inashangaza sana kuona wanachama wa CDM wakishangilia udhalimu wa Putin huko Ukraine.
 
Huwa watu wenngine mahaba yamezid mkuu yaan mataifa 30!? Russia angekuwepo leo? Mikoa miwili tuu inamtoa kamasi sembuse taifa
 
Takbir takbirr takbirrr

Waarabu wa mbagala kibonde maji waliochanganyika na Warusi wa ubungo maji wanapata hasira saaana wakiona habari kama hii.
Hahaha hahahaha Mimi ni Ukraine wa ubungo Maji
Hahaha hahahaha
 

Yote hayo yangekua kweli kama Urusi asingejiingiza kwenye aibu hii ya sasa ambayo ameonyesha alivyo haifu, hana lolote yaani bure kabisa ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…