Jamani hako ni kakijjji,muwe mnaleta taarifa Sahihi!Kherson Bado Iko chini ya Russia!soon utasikia superpwer anasema tumejiondoa kherson kuonesha nia njema kuepuka tishio la kibinadamu.
halafu machawa wa Andunje watakuja na kauli hii. malengo yetu yatatimia yote
Hili hapa View attachment 2346115
DooohAta akiwalushia kabomu hakuna kitu watakachokifanya zaidi ya kubweka tu na kutegeana nani aanze kuli- respond maana nchi zote za NATO zinafahamu musiki wa Russia. Huko Ukraine Russia anatumia 5% tu ya nguvu zake maana anatambjua wao ni ndugu wa damu ila
Gesi hainipi shida, ile tu kwamba anazidi kuaibishwa na usupapawa wake imetosha....kainchi kadogo mithili ya mkoa wake mmoja.
Kainchi kadogo kametengeneza Himars, Javelin nk??!!--- si kanapewa silaha na pesa kutoka NATO (30+ countries, the economic giants) na USA !!!. hapo wajifanya hujui??😏
Wao wamemuwekea Russia vikwazo naye anawanyima gas na Winter inakuja tuone nani mjanja na nani Mjinga.
Tulia weweee britaniccaInashangaza sana kuona wanachama wa CDM wakishangilia udhalimu wa Putin huko Ukraine.
Wavaa kobaz wasio na akiliTakbir takbirr takbirrr
Waarabu wa mbagala kibonde maji waliochanganyika na Warusi wa ubungo maji wanapata hasira saaana wakiona habari kama hii.
Watakuaje na akili wakati wanasugua vichwa Chini kwenye sakafu kama kondoo ?Takbir takbirr takbirrr
Waarabu wa mbagala kibonde maji waliochanganyika na Warusi wa ubungo maji wanapata hasira saaana wakiona habari kama hii.
Kenge sanaAhsante sana Ukraine kwa kutumbusha umuhimu wa kupambania unacho kiamini.
Ila kuna mbuzi moja humu jf inajiita yeriko nyerere siku hizi sijui imepotelea wapi. kwamaana ile mbuzi ilikuwa inaifokea sana Ukraine na inasema kupangua ngumi ya mkubwa ni dharau.
Na wakati huo huo hiyo mbuzi hapa Tanzania inajiita ni mwanaharakati wa kutetea demokrasia.
Putin mwenyewe shoger Tu anasukumiwa miti na maoligarch waliomweka madarakaniKuna shoga moja la kirusi nimelidaka linasifia ushoga wakati kwenye nyuzi zetu latutusi sana kuhusu ushoga
Afrika ina tatizo la udumavu WA akili na upumbav WA viongozi na wananchi wake , Kwani Afrika inatawaliwa na Nani sasa hivi ?Afrika haikupata uhuru , hakuna uhuru wa maneno , hii ndo ilipaswa Afrika ifanye kwa ss , ila waafrika wapo kuimba ngonjera eti raia wanakufa wakubali tu kuingiliwa na Urusi kinyume na maumbile , hili bado ni bara la giza
Ajichanganye amguse Mpoland Tu hapo aone anavyonyooshwa kuna nchi Europe zinauwezo wakuigeuza Russia kuwa desert bila hata kutumia umoja WA NaTo forcesNimewaambia mwambieni Mrusi akosee ashambulie kataifa kamoja ka NATO muone akifutika mchana peupe.....
Analizwa na kataifa kadogo hadi kilio...
Ndugu WA damu ,nyoko !Ata akiwalushia kabomu hakuna kitu watakachokifanya zaidi ya kubweka tu na kutegeana nani aanze kuli- respond maana nchi zote za NATO zinafahamu musiki wa Russia. Huko Ukraine Russia anatumia 5% tu ya nguvu zake maana anatambjua wao ni ndugu wa damu ila
They took back the village, kijiji kimoja daaahWengi mlisema Ukraine akikomboa hata ekari moja mnafunga akaunti za JF, ndiye huyo anasimika bendera.
Jameni Ukraine wanapambana na kunifurahisha hadi naumwa, kainchi kadogo saizi ya mkoa wa Urusi ila wanajituma kama mchwa, wamekubali kujitoa mhanga ili wakomboe ardhi yao kwa ajili ya vizazi vya kesho.
Habari zimfikie Putin popote alipo kwamba hata akiua mamilioni ya wa-Ukraine, lazima wafike Crimea maana ndiko vita vilianzia na vitaishia....
Ukraine took back the village of Vysokopillia in Kherson on Sunday and raised its flag over a hospital following reported "successes" in the region that fell to Russia on March 3, a week after Russia invaded the Eastern European country.
Yuriy Sobolevskyi, first deputy head of Kherson Oblast Council, announced on Telegram that Vysokopillia was liberated from Russian control. The region is significantly important because it's a strategic location at the mouth of the Dnieper River's exit into the Black Sea.
The Kyiv Independent reported on Twitter that forces also raised the Ukrainian flag in Vysokopillia, which is located north of the Kherson region on the administrative border with the Dnipropetrovsk region, according to Ukrinform.
Samuel Ramani, an associate fellow at the Royal United Services Institute for Defence and Security Studies, said on Twitter that the flag was raised on a hospital roof in the village. A few other Twitter accounts, including Ukraine updates, made the same announcement.
"The flag is on a hospital roof in Vysokopillya, Kherson Oblast," Ramani tweeted. "Russia is cracked down on any displays of Ukrainian nationalism inside Kherson and reportedly raised a Soviet victory flag in Kherson after its occupation."
Russian forces have sent many villagers fleeing from their homes, as troops took over dozens of towns and villages since the invasion began on February 24. Some of those who fled Russian-occupied territories were desperately seeking safety as they escaped on foot, bikes, and by wheelchair, NPR reported in July.
However, Sobolevskyi recently said that Ukrainian forces have successfully achieved some goals in the Kherson region amid the counter-offensive they reportedly launched on Monday.
"Now is the time to support our armed forces," Sobolevskyi said last week, according to Reuters. "Now is not the time to talk about the specific successes of our lads"—as he spoke of Ukraine's efforts in the Kherson, Beryslav and Kakhovka districts.
The Ukrainian military insisted on not revealing information about the offensive in the south of the country, but the presidential office reported "powerful explosions" and "tough battles" in the region, adding that Ukrainian troops destroyed ammunition depots and large bridges across the Dnieper River that are necessary to send supplies to Russian forces.
Ukrainian forces also recently moved forward with their goals against Russian troops as it took advantage of Russia's poor leadership, administration, and logistics, the British Ministry of Defence said on Saturday. Additionally, Ukrainian air forces took down a Russian reconnaissance drone named "Kartograf" in the Mykolaiv region.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli bangi sio kitu kizuri kabisa.iyo itakuwa ni KHERSON ya mji mwema.angalia kwenye ramani KHERSON ipo wapi.ili ufike KHERSON kuna vijiji zaidi ya 30
Kijiji cha NATO kimehamia hapo na bado Kazi ngumu looooo huna taarifa?Gesi hainipi shida, ile tu kwamba anazidi kuaibishwa na usupapawa wake imetosha....kainchi kadogo mithili ya mkoa wake mmoja.
Kaa kwa kutulia,unajua akimalizana na Uikrane anaenda nchi gani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamani sa Poland anavyomtofya jichoni kabisa na huyu Latvia kamuekea vikwazo kupitisha baadhi ya Vitu kufikia Karingrad
Angemlenga Poland tu Sababu pia kuna vikosi vingi sana vya askari wa Nato