Ukraine yafanikiwa kurudisha Maji na Umeme Kiev

Ukraine yafanikiwa kurudisha Maji na Umeme Kiev

Wamefanyaje jamani na sisi watuambie ili Mama Samia apate desa ,huku Tanzania tunaangaika na ukame tu duuu 60plus years za uhuru duuu CCM inatosha
 
Hizo heavy duty transformers wamezipata wapi, pump kubwa za kusukumia maji kukidhi wakazi wote wa jiji la Kiev wamezinunua na kuzifunga lini, umeme na miundo mbinu zote za uzalishaji na usafirishaji umeme wamezirudisha lini??

Au zinarudi adithi zile zile za kusema jeshi la Ukraine limelipua kifaru kimoja cha Urusi na kuuwa wanajeshi 1,000 (elfu moja) wa Urusi kwa mpigo au hili la kudai kwamba missiles 50 zilizo vurumishwa huko Ukraine 48 kati ya hizo zilitunguliwa na air defense systems za Zelensky, jeshi la Ukraine likihojiwa ilikuwaje tena, mbona karibu miji yote ya Ukraine ilishambuliwa na kuchakazwa na missiles ikiwemo Kiev yenyewe hii inamaanisha nini kwamba kila missile iloyokuwa inatunguliwa baadae inakuja kufufuka kimiujiza na kuzalisha missiles nyingine tatu za kwenda kushambulia miji mingine na vituo vingine nyeti nchini Ukraine??

Bottom line ni kwamba: jeshi la Zelensky ni mabingwa sana katika nyanja za usanii wa kusema uongo.

Ukraine ilisema wazi ilitungua Cruise missiles 44 Kati ya zaidi ya 50 ambazo Urusi ilivurumisha. Swali lako la missiles kufufuka kimiujiza unatakiwa ujue kwamba Urusi haikurusha Cruise missiles pekee Bali ilirusha MLRS hizi ni kama HIMARS hazibebi milipuko mikubwa kama Cruise missiles na ndio maana sishangai Ukraine kurudisha Umeme na maji mapema sababu Cruise missiles X-59 ambazo Russia ilirusha nyingi zilidakwa. Kama Ukraine isingetungua hizo cruise missiles zaidi ya 50 saa hizi tungekua tunaongea habari nyingine
 
Halafu kuna mtu anashangaa Urusi kupoteza zaidi ya askari elfu 72 toka vita vianze.
Putin hajali uhai wa askari wake.Wakati yeye kajificha kwenye andaki,watu wanaoongea naye wanawekwa mbali,maelfu ya askari wake wanakufa frontline [emoji848]
Yaani ajifiche kwenye handaki Putin [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Udikteta ni mbaya sana
Halafu kuna mtu anashangaa Urusi kupoteza zaidi ya askari elfu 72 toka vita vianze.
Putin hajali uhai wa askari wake.Wakati yeye kajificha kwenye andaki,watu wanaoongea naye wanawekwa mbali,maelfu ya askari wake wanakufa frontline [emoji848]
 
Ukraine sio Burudndi[emoji16]
Hizo heavy duty transformers wamezipata wapi, pump kubwa za kusukumia maji kukidhi wakazi wote wa jiji la Kiev wamezinunua na kuzifunga lini, umeme na miundo mbinu zote za uzalishaji na usafirishaji umeme wamezirudisha lini??

Au zinarudi adithi zile zile za kusema jeshi la Ukraine limelipua kifaru kimoja cha Urusi na kuuwa wanajeshi 1,000 (elfu moja) wa Urusi kwa mpigo au hili la kudai kwamba missiles 50 zilizo vurumishwa huko Ukraine 48 kati ya hizo zilitunguliwa na air defense systems za Zelensky, jeshi la Ukraine likihojiwa ilikuwaje tena, mbona karibu miji yote ya Ukraine ilishambuliwa na kuchakazwa na missiles ikiwemo Kiev yenyewe hii inamaanisha nini kwamba kila missile iloyokuwa inatunguliwa baadae inakuja kufufuka kimiujiza na kuzalisha missiles nyingine tatu za kwenda kushambulia miji mingine na vituo vingine nyeti nchini Ukraine??

Bottom line ni kwamba: jeshi la Zelensky ni mabingwa sana katika nyanja za usanii wa kusema uongo.
 
Kwani Ukraine anapgana nani angekuwa ni askari wa Ukraine vita vingeisha kitambo tu pale kuna nchi zaidi ya 30

Mkuu, jeshi la Urusi lilikuwa halijahamua kufanya kweli, lakini kutokana na ujeuri na kiburi cha Zelensky kuwasikiliza washauri wake kutoka US na UK kwamba aendelee kumtunishia misuri Putin ili apigane nae mpaka tone la mwisho - ujinga huo utai-cost Ukraine an arm and leg kwanza, lakini kikubwa zaidi, Ukraine nzima itachukuliwa na Russia ili kuondoa mzizi wa fitina unao tumiwa na USA na Uingereza kutaka kuivuruga Urusi - who can blame Putin??
 
Fashisti kashindwa kupambana front line kahamishia hasira zake kwenye miundombinu..,huko front mambo ni magumu sana kwa urusi..,siku ya jumamosi alipoteza asikari zaidi ya 1000..hii ni idadi kubwa ya asikari kuwahi kuuwawa ndani ya siku Moja tangu uvamizi uanze[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hivi nyie mlilogwa Russia labda mnawauwa huko BBC na twitter Russia yupo imara na lazima muombe pooooo
 
Fashisti kashindwa kupambana front line kahamishia hasira zake kwenye miundombinu..,huko front mambo ni magumu sana kwa urusi..,siku ya jumamosi alipoteza asikari zaidi ya 1000..hii ni idadi kubwa ya asikari kuwahi kuuwawa ndani ya siku Moja tangu uvamizi uanze[emoji848]
Aisee,roho za watu hizo zinaangamia....daa
 
Vyombo vya magharibi hawaelezi uharibifu unaotokea Kiev Ila Kiev inachakazwa vibaya mno mno
images.jpg
download.jpg
8
 
Kherson itapigwa kata funua muda siyo mrefu. Jamaa kaishaandaa kabisa bajeti ya kuujenga upya.

Subiri uone
Uzuri huwa hamleti mrejesho mambo yakienda kombo.Vipi kule Lyman imeshindikana vipi kupiga hiyo katafunua?
 
Mkuu ni hatari,NATO wa buza wakilala na kuamka wanaandika tu chochote kufurahisha mioyo Yao!Tunabaki kucheka tu[emoji2]!
Tunaelewa mlivyo kata tamaa nyie Pro Putin,matarajio yenu yalikuwa makubwa mno na uhalisia umekuwa tofauti kabisa.
 
Back
Top Bottom