Mimi sio mtu baki - labda wewe!! How do you mean jiji linawaka taa kama kawaida?? Wewe unajuaje kama taa zinazo onekana kwenye TV ni za mji wa Kiev kweli na si sehemu nyingine ya Ukraine au wenda ikawa clips hizo zilipigwa mwaka jana kabla ya vita zilikuwa zimehifadhiwa kwenye archive tu,mara ngapi hapa tumewahi kuona picha na video clip za conflicts za 2014/15 ambazo jeshi la Zelensky inazionyesha kama za mwaka huu,na picha nyingine na video clip za jeshi la Urusi wanazifanya kama za kwao wanafikiri watu hawana akili za kuchambanua mambo, ndio maana siwa amini chochote wasanii hawa.
Kitu kingine kumbuka Urusi iliharibu asilimia 40% ya miundo mbinu za umeme na maji nchini Ukraine, hivyo asili mia 60% bado umeme upo,nijuavyo propaganda za Zelensky alivyo, wanaweza kuonyesha miji mingine inayo waka taa wakajidai ni mji wa Kiev, kwa lengo la kuwatia imani/moyo raia wake - usanii huo wanauweza sana.
Ukweli ni kwamba wakazi wengi wanatumia majenereita au solar kuwashia umeme, sio umeme wa grid, wasitake kuzuga watu hapa.
Zelensky propaganda nyingi na usanii, kujifanya hawajapata madhara yoyote,yaani ni ngangari dhidi ya Urusi - usanii tu,anayasema hayo na kutunisha misuri huku Taifa lake likiteketea, hataki kuelewana na Urusi mambo yakaisha - kaingizwa kwenye mkenge kichwa kichwa na Merikani na Uingereza ili jeshi lake lipigane vita na Urusi huku wakijua kwamba uwezekano wa jeshi la Ukraine kulishinda jeshi la Urusi(supa pawa) haupo kabisa - badala yake Taifa la Ukraine litateketezwa vibaya sana, raia wengi wasio na hatia kupoteza maisha huku Zelensky na familia yake wakiwa wamekwisha fanya mpango wa kukimbilia uhamishoni huko Miami Florida anako miliki a posh Mansion just in case, Zelensky is already stinking rich hana shida vita hii imemtajirisha sana, ndio maana haoni taabu kuwapeleka vijana wadogo jeshini kupigana endless futile counter offensive operations wanako uwawa kama nzinge na mizinga,MRLS (thermobaric),Drones na Chopper Gunships za jeshi la Urusi!!
Zelensky ni binadamu hasiye jali maisha ya vijana wa Kiukraine, anacho jali yeye ni kutaka kuzifurahisha Serikali za Merikani na Uingereza kwa kupigana a proxy war on their behalf -mtu wa ajabu sana.