Ukraine yahimiza kila nchi yenye Patriot iwasaidie kupambana na Urusi inayokaribia kuuteka mji wa Kharkiv

Kwani Russia si walikuwa na makubaliano kwamba ili amani iwepo Ukraine asije akajiunga na NATO. Ame violate terms we ulitaka Urusi afanyeje?
Kwahiyo unaunga mkono Tanzania isitumie maji ya Ziwa Victoria kwa sababu Misri itakosa maji ya kutosha sio?
 
Kwahiyo unaunga mkono Tanzania isitumie maji ya Ziwa Victoria kwa sababu Misri itakosa maji ya kutosha sio?
Itumie maji kwa mahesabu na bila ubadhirifu ikijua maji hayo yanatumiwa na Misri pia.
Kama Tanzania itayabadilisha maji ya Victoria yaingie bahari ya hindi au kufungua njia ya bahari ya hindi yaingie ziwe victoria basi hapo Misri itakuwa na haki kuja mpaka Dodoma au Arusha kuhakikisha maji yanatumika vizuri na hayabadilishwi kuwa na uchumvu chumvi
 
Ahahahahaha!
 
Hujui kwamba hii dunia ina wababe wake kulinda usalama na maslahi yao, kwaiyo Zanzbr saa yoyote wakitaka wajiunge na OIC na tanganyika iangalie tu vipi usalama wetu utakuwaje!? Zele mpaka anaondoka madarakani inchi yote ya Ukraine itakuwa ishamegwa robo tatu...huku marekani akikodoa macho tu
 
ndio sababu ilikua nato,
kupinduliwa kwa yule raisi maana yake ilikua ni urusi kuondolewa Seva, hii ni base pekee ya maji moto waliyonayo warusi, ........ badala yake hapo wangekaa west/nato proxies

walijua hili ndio mana wakawahi kuichukua crimea,
 
Marekani kweli anakodoa macho.Kila anachopeleka kinazama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…