Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Akatae kwani hadi wamuulize?Hivi leo mexico akisema aruhusu makombora ya Urusi au China nchini yawekwe kwake unadhani USA atakubali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akatae kwani hadi wamuulize?Hivi leo mexico akisema aruhusu makombora ya Urusi au China nchini yawekwe kwake unadhani USA atakubali?
Kwahiyo unaunga mkono Tanzania isitumie maji ya Ziwa Victoria kwa sababu Misri itakosa maji ya kutosha sio?Kwani Russia si walikuwa na makubaliano kwamba ili amani iwepo Ukraine asije akajiunga na NATO. Ame violate terms we ulitaka Urusi afanyeje?
Itumie maji kwa mahesabu na bila ubadhirifu ikijua maji hayo yanatumiwa na Misri pia.Kwahiyo unaunga mkono Tanzania isitumie maji ya Ziwa Victoria kwa sababu Misri itakosa maji ya kutosha sio?
Ahahahahaha!Itumie maji kwa mahesabu na bila ubadhirifu ikijua maji hayo yanatumiwa na Misri pia.
Kama Tanzania itayabadilisha maji ya Victoria yaingie bahari ya hindi au kufungua njia ya bahari ya hindi yaingie ziwe victoria basi hapo Misri itakuwa na haki kuja mpaka Dodoma au Arusha kuhakikisha maji yanatumika vizuri na hayabadilishwi kuwa na uchumvu chumvi
Hujui kwamba hii dunia ina wababe wake kulinda usalama na maslahi yao, kwaiyo Zanzbr saa yoyote wakitaka wajiunge na OIC na tanganyika iangalie tu vipi usalama wetu utakuwaje!? Zele mpaka anaondoka madarakani inchi yote ya Ukraine itakuwa ishamegwa robo tatu...huku marekani akikodoa macho tuYaani Urusi ilipovamia raisi wa Ukraine angesarenda na kukabidhi nchi, au angekuwa anafuata na kutekeleza anachotaka Putin ili hali Ukraine ni nchi huru? Au wakitaka kujiunga na shirika fulani ni hadi wakamuulize Putin?
Hivi nyie watu mnafikiria kwa kutumia kiungo gani?
ndio sababu ilikua nato,Aidha ni ushabiki tu, au ni chuki dhidi ya west tu ama ni kutokujua mambo tu.
Unaweza ukaishi kwa kufuata matakwa ya jirani yako? Wewe unadhani angeishia kumuamulia la NATO tu?
Wewe unadhani sababu kweli ni NATO?
Putin alipovamia na kuimega Crimea sababu ilikuwa ni NATO?
Marekani kweli anakodoa macho.Kila anachopeleka kinazamaHujui kwamba hii dunia ina wababe wake kulinda usalama na maslahi yao, kwaiyo Zanzbr saa yoyote wakitaka wajiunge na OIC na tanganyika iangalie tu vipi usalama wetu utakuwaje!? Zele mpaka anaondoka madarakani inchi yote ya Ukraine itakuwa ishamegwa robo tatu...huku marekani akikodoa macho tu